Hakuna formular angeweza kuachwa pia kwa kusema kabla. Kama hujaelimika kuhusu HIV isikie tu kwa watu.Bi dada ndio kaanza kujinyanyapaa mwenyewe, alitakiwa amweleze kuhusu hali yake na ni namna gani atamkinga. Hiyo ya kumeza dawa kisirisiri tunaweza kusema hakuwa na nia njema na kaka wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Haha hilo jina la fundi umelitoa wapi?Haya fundi.
Eewnh wewe utanikingaje?
Chinga wewe eti kulombanaIna maana miezi yote waliyokua wanalombana hawakuchubuana hadi jamaa yupo fresh???? Au hii Ngoma inaingiaje ingiaje mwilini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ufundi umekuisha kwani?Haha hilo jina la fundi umelitoa wapi?
Hayo mengine tutaongea chumbani
Sent using Jamii Forums mobile app
Basi atafute mwenza wanaefanana au mwenye elimu ya kutosha kuhusu vvuHakuna formular angeweza kuachwa pia kwa kusema kabla. Kama hujaelimika kuhusu HIV isikie tu kwa watu.
Umeisha sasa hivi nimezeekaUfundi umekuisha kwani?
Ila lazima nimwambie dada hata tuyaongelee wapi.
Siwezi kuacha kabisa ex darling, hapa ni kujitahidi kuacha utamu wa ex darling tu ili nibaki njia moja[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ex darling kwahiyo abstaining umeikataa kabisaaa?
Tehteh...

Huyo dada ni member mwenzetu na sasa anausoma huu ujumbe ila siwezi kumwanika.
Mwana kulitafuta mwana kulipata.Usituambukizie vijana wadogo tu....ndiyo taifa la kesho.
Naona mmeanza kuniacha njia panda.Msiwe mnaharakisha kufanya mapenzi na watu mlokutana nao mitandaoni..iwe jf,fb or enewea!
Kazania kwenda kupiga ,weka uwoga pembeni kwani huwezi jua unaweza kuwa ni mzima halafu mwenzio anano akakumaliza..kisa muoga wako
Niliyasema mimi nkatukanwa mimi
Aggy nawaambia kuweni makini vijana wenzangu,kuna wapuuzi hawajali u salama wa wenzao when it comes to mapenzi..nkageuka mtoto..
Na ntaendelea kuwa kimya na msimamo wangu...awamalize wote..panya wajuaji nyie!
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa unakuwa na Ukimwi na bado dependant??? Afadhali kifaduro kinavumilika.
Naona mmeanza kuniacha njia panda.
Alijua asingemwambukiza maana anatumia dawa.Bi dada ndio kaanza kujinyanyapaa mwenyewe, alitakiwa amweleze kuhusu hali yake na ni namna gani atamkinga. Hiyo ya kumeza dawa kisirisiri tunaweza kusema hakuwa na nia njema na kaka wa watu
Sent using Jamii Forums mobile app
Aiiii wewe sio vizuri, kwani mimi sitaki utamu?Siwezi kuacha kabisa ex darling, hapa ni kujitahidi kuacha utamu wa ex darling tu ili nibaki njia moja[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
Hii takiwi kabisa walau uwe career basi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwahiyo haitakiwi?
Kwahiyo wewe wa mitandaoni tu ndio unawaogopa ila ulokutana nae kanisani unamwamini?Msiwe mnaharakisha kufanya mapenzi na watu mlokutana nao mitandaoni..iwe jf,fb or enewea!