Yaliyojiri uwanja wa NMC - Arusha

Wewe ndiye uliyekurupuka! umeona original post ilivyokuwa imekaa? Sukuruni mods kwa kuiedit!

Rejao chamecha meku!! Ulipotea sana mkuu naona kule migombani hamna network
 
Katibu anaendelea kumchoma mbaya sana meya feki Lyimo na kumhakiki ya kwamba kama amechagulia kihalali hebu ajitokeze kwenye mkutano huu kama Meya. Na watu wote wakapinga ya kwamba hakubalikiiiiiiiiiiii!
 
Ndugu wa karibu wa marehemu eg Mke, Mama au ndugu tegemezi wamesaidiwa ?.
Ngongo,
Hawa marehemu walikufa kwenye maandamano yaliyokuwa halali lakini yakavurugwa na IGP Mwema. CDM wanalo jukumu la kuwasaidia wategemezi wa marehemu kwa kutumia wanasheria wao kuifungulia serikali mashitaka ili ndugu hao wapate fidia stahiki. CDM hawawezi kukwepa hili, otherwise CDM is not liable.
 
Yes, huwezi danganya watu wakati wote.... dalili sasa zaonyesha maskini CDM!!!
 
Sasa namwona katibu wa mkoa anamkaribisha Mbunge wa Arusha mjini Kamanda G. Lema! Hizi shangwe za kumpokea Lema hakika zinatosha na ameruhusu DJ aweke CD ya Sarafina ama ya Bob Marley!
 

tena ajikune na umma shenz type.
 
Chadema dume la Mbegu

Hayo maneno siyapendi na si mazuri kuyatumia. Ndiyo yaliyomfanya Komba na TOT yake wakimbie Mara kwenye kampeni. Baada ya kusema CCm ni dume la mbegu, wananchi wakatafakari na kuona wametukanwa mbele ya wake zao na mama zao kuwa wao hawana kitu cha kutoa(yaani wantoa maji tu) wakamwambia aondoke; nilivyoelezwa ni kuwa alipewa warning akipanda tena jukwaani basi atasahau uzima wa vyombo vyake kuanzia hapo.

Halahala, isije ikaturudi. Watu ni walewale wanaweza kutafsiri utusi wa maneno hayo vilevile.
 
MB Lema anamwaga sera mbaya balaa! Jamaa ana sera kweli kweli!
 

Wewe ni "mfurahia mateso na mauaji"(sadist).
 
crushwise kama hajafika hapo basi atakuwa anaumwa au yupo nje ya nchi. hata asipofika atatutumia picha za kuwaumbua magamba.hilo halina shaka Mia
 
chapeni kazi achana na hao wachaga wako kazini pia pesa zinaingia, mnapoteza mda tu humu wenzenu ni biashara hio,kainchi ketu masikini watu mmekalia umbea tu na majungu kazi hamtaki!

Kazi kwako ni wizi wa rasilimali za nchi na kutaka kutuzuga kwa kuendeleza ukabila. Ushindwe!
 
Na hapo sijaona kiongozi yoyote wa kitaifa lakini watu wamejjitokeza kwa wingi kama unavyoona..hakika watu wana taka mabadiliko na tegemeo lao ni Chadema

mbona wamasema viongozi wa kitaifa wapo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…