YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Mkapa uwa anakupa makavu uwa ana mambo ya kuzungukuka!!!.

Teh teh teh
 
Kuna kamtindo kameanza kuzoeleka sasa, hasa kwa viongozi wa ccm kutumia salamu ya "asalam alekum", kavukavu, na kua ka ni official, huu ni udini.

Udini kauanza yesu maana naye pia alisema kuwaambia wanafunz wake...KICHWA CHAKO KIMEJAA FIKRA ZA UDINI KAMA UKAWA..muda huu hatuangalii hayo tunaangalia sera kwa faida ya TAIFA LOTE..hatutak UDINI wala UKANDA..sera zako hizo wapelekee UKAWA...
Tunataka TANZANIA yetu moja...mungu ibarik TANZANIA..
 
Kwani watu wamezuiwa kunyanyua mikono mbona mwitikio ni mdogo ki-hivyo. Ngoja tuendelee; sijui watu wamechoka au vipi
 
Pamoja na kumtunza yeye na familia yake kwa kodi zetu kasema wapinzani ni WAPUMBAVU
 
Mkapa anasema wanaosema wanataka kuleta ukombozi ni wapumbavu na malofa

Kwa kauli ya Mkapa sio mbaya na sisi tunaokerwa na huu umaskini kwenye nchi yetu tunaoamini tumesababishiwa na watawala wetu.

Kwapamoja tuseme TUMEFIKA HAPA KUTOKANA NA UPUMBAVU WA MARAISI WA AWAMU YA 3 NA 4
 
Wewe unadhan Warioba hamjui Lowassa?anajua LOwassa ni mwizi na kuwa Lowassa yupo nyuma ya wafanyabiashara wanaotaka kuila nchi.Ndio maana amewaambia OGOPA KIONGOZI ALIYE KARIBU NA WAFANYABIASHARA WAKUBWA,RUSHWA!

Ogopa kiongozi alie mbahili ata kwa familia yake, anae ishi maisha ya ki local eti kujifanya mzalendo. Unakua bahili ata kwa wanao na mzazi wako.... Puuu....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom