YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Mkapa kachokoza nyuki asubiri mapigo kutoka kwa Vijana wa UKAWA,akumbuke tu alikimbia kampeni arumeru kwa Nassari.


Mkapa.... ATAJUTIA KUTUKANAAAA

MKAPA atakimbia kampeni kama ARUMERU Arusha....

Arumeru, Mkapa, alikimbiaaaaa....akaacha kampeni kisa ALIMTUKANA VICENT NYERERE.... Vicent Nyerere alimkomeshaaaa.... alienda kuomba msamaha haraka...

Mkapa karibu uwanjaniiiii sasa
 
mwenyewe nlishtuka kumbe alimaanisha nchi ilishakombolewa sasa nikuendeleza nchi sio kuikomboa
mmm mbona kajichanganya mwenyewe?...maana tena kasema tunaendelea kujikomboa kutoka umaskini ujinga na maradhi!....huu ndo ukombozi unaozungumzwa na upinzani na yeye anajua hilo!....Ila alikuwa anaongea kwa jazba sana .....matusi from Mkapa live kwenye TV sikutegemea!
 
bila aibu na kwa kujiamini kabisa aisee....watawala wamesha jisahau sana...#kikatio kitadhihira nan ni mpumbavu na Lofa hapo 25 oct
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom