YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Mkapa mpumbavu kuliko watanzania wote shwain, Rais alie hama kwao na kuwatekeleza ndugu zake, eti nae leo awe wa maana? Ajabu kweli kuna mmachinga alikuja ha JF anamtafuta rais wao maana wote waliostaafu walirudi kwao yy sijui kwa nn harudi? Hana nyumba kwao jinga kubwa liuaji la Nyerere halafu eti nae leo awe wa maana, alikuja kumnadi sioi hakufua dafu nyoooo, ndio huyu magufuli, namba wataisoma wenyewe. UKAWA KAZI TU.
 
Jangwani ni mafuriko

kumekucha leo

Spichi ya Makongoro nimeipenda hadi mida hii naikumbuka na za wenzake pia

bila kumsahau Diamond Platnumz alitumbuiza bombaaaa
 
Mkapa.... ATAJUTIA KUTUKANAAAA

MKAPA atakimbia kampeni kama ARUMERU Arusha....

Arumeru, Mkapa, alikimbiaaaaa....akaacha kampeni kisa ALIMTUKANA VICENT NYERERE.... Vicent Nyerere alimkomeshaaaa.... alienda kuomba msamaha haraka...

Mkapa karibu uwanjaniiiii sasa

sasa Lofa nani kati ya anae lea watoto wa mwanaume mwenzake na wanaotaka ukombozi wa pili wa mTz?

Atakoma huyu Mkapa we subiri tu!
 
Kwa kauli ya Mkapa sio mbaya na sisi tunaokerwa na huu umaskini kwenye nchi yetu tunaoamini tumesababishiwa na watawala wetu.

Kwapamoja tuseme TUMEFIKA HAPA KUTOKANA NA UPUMBAVU WA MARAISI WA AWAMU YA 3 NA 4

Eti ukombozi hahahahahahagagag. Ukombozi ulishafanywa na Tanu na ASP. Wapumbavuuuuuuuuuuuuuuu nyie ( in mkapa voice)
 
Mkapa AWATUKANA UKAWAA......

awaita WAPUMBAVUUUUUU....

eti sbb wanataka kuwakomboa watanzania....
Mkapa....karibu uwanjaniiiii

Kumbe CCM zerooooo kabisaaaaaaa

CCM zerooooooooo.....

ukiwasikiliza hawana KITUUUUUU...

CCM byeee byeeeeee
Upumbavu siyo tusi kamanda labda lofa ndiyo sijui maana yake.

Tanzania imeishakombolewa na TANU.
 
Sidhani kama kanuni za NEC zinaruhusu maneno kama hayo kutumika; NEC na Polisi mpo? Je upinzani wakitumia maneno kama hayo mtakaa kimya?
 
Kuna kamtindo kameanza kuzoeleka sasa, hasa kwa viongozi wa ccm kutumia salamu ya "asalam alekum", kavukavu, na kua ka ni official, huu ni udini.

Wewe ndo mdini, asalam alekum maana yake amani iwe juu yenu....akiongeza bwana asifiwe ndo kaleta udini kwa taarifa yako...

Nyie ndo mnaoamini waarabu wote waislamu.
 
mmm mbona kajichanganya mwenyewe?...maana tena kasema tunaendelea kujikomboa kutoka umaskini ujinga na maradhi!....huu ndo ukombozi unaozungumzwa na upinzani na yeye anajua hilo!....Ila alikuwa anaongea kwa jazba sana .....matusi from Mkapa live kwenye TV sikutegemea!

Ndio hapo sasa...yani katukana halafu karudi palepale kwa alichokitukania
 
Mkapa awambia wapinzani ni wapumbavu, je? Tunapo ingia kwenye kampeni za uchaguzi mkuu Lugha za matusi ndio watanzania wanahitaji sijui we we una maoni gani?
 

Similar Discussions

18 Reactions
Reply
Back
Top Bottom