YALIYOJIRI: Mkutano wa Ufunguzi wa Kampeni za CCM - Viwanja vya Jangwani, Dar-es-Salaam

Hili zee na likipara lake kama kota na mtumbo amejaza salula tuu pyeeee wanapoteza muda tuuu
 
CCM waaga rasmi leo...

CCM byeeee byeeeeeeeee.......

Sura zipooooooooooo waziiiiiiiii....
 
Ccm mmepanik mmeanza kuitoa,upinzani wapumbavu mtaisoma Namba mwaka huu ndio mwisho wenu
 
Kaka na ujanja wako wote sikutegemea uwe upande huo wa papai bovu CCM.
Umeniangusha kwakweli!

Nakushangaa wewe bendera ufuate upepo. Unashabikia chama cha makapi yetu. Mnajijua hamuwezi kushinda mpaka waje watu kutoka CCM. Yaani inaonyesha ni jinsi gani msivyojiamini mngekomaa tuu na slaa wenu kuliko kuchukua CCM B. Wapumbavuuuuu ( In Mkapa Voice)
 
Adhira imekaaje? Naona kama haikubaliani na hayo yanayosemwa haiko active kuunga mkono kunachosemwa kwa sauti ya moyoni
 
Siipendi ccm
siipendi ccm kutoka moyoni
siipendi ccm
siipendi ccm
wangeweka hata jiwe na magufuli ningrchagua jiwe.
 
Hii imetokea muda huu wakati akihutubia mkutano wa ufunguzi wa kampeni za CCM, kuwa kuna vyama vinasema vinataka kuwakomboa watanzania, ya kuwa watu hao ni WAPUMBAVU.

Kwa hili Rais Mstaafu Mkapa amekosea kwa kuwatukana watanzania ambao wanashiriki katika siasa halali kabisa nje ya CCM.

AMEHARIBU SANA IMAGE YAKE
 
Back
Top Bottom