Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

4ac988d653420fc873c7afdbf565dbef.jpg


Mshiriki toka Tanzania - pemba miaka 17

Mashallah
 
Nipo Mbuashara kupitia redio Imaan, shekh Kishk anasema 3/4 ya watu wameshindwa kuingia ndani kwa sababu uwanja umejaa.Mshiriki nambar 12 akitokea Somalia ndo anayepanda stejini
Naomba frequency za hyo radio nipo dar
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Yaan hawa watoto watafanya sisi ambao hatujahifadhi Quran tukose la kumjibu Allah siku ya qiama..
Tulikua wapi wakati wenzetu wanahifadhi kitabu cha Allah...
Daah nafs yangu inasononeka sana
Una nafas bado,unannafas kubwa sana,kama unamilikia smart phone unaweza kujifunza wewe mwenyewe,tafuta app ambayo unaweza kujiendeleza,I believe umesoma kiasi sio kwamba upo empty kabisa
 
Kusaga na Bashite nao wapo,Kusaga ametoa maspika na steji,Umeme umekatika uwanjani
 
Pongezi kwa Joseph Kusaga kwa kutuwekea steji safi na spika safiii na kuturushia matangazo moja kwa moja Clouds TV Allah azidi kukuzidishia
 
Back
Top Bottom