Yaliyojiri, Mashindano makubwa ya usomaji wa kitabu kitakatifu Qur'an leo 11.06.2017 uwanja wa taifa

alimkatalia SHEHEKUNA wa DAR kuwa haya mshindano yatafanyika dar tu peke yake

Wanataka kuuza sura na kukwapua pesa za wanaofund hayo mashindano.SIunajua kwenye pesa SHETWANI hachezi mbali
 
wakati akijua kuwa vita yake ilikuwa hewaaaa,siku atakayokuja kupata akili watakuwa wameshamdondosha tayari,hakuna mwanasiasa anayeweza kusimama kama ana uadui na vyombo vya habari,hatumuombei mabaya lakini ni suala la muda tu.
Well said
 
Ujue sisi watanzania ni wanafiki sana Mtu anapofanya mema hawayasifu ngoja aharibu kidogo tu basi kila Mtu anajua kuhukumu clouds nao wanamazambi kibao basi tu kifupi hakuna mkamilifu .mashindano yanafanyika mkoani kwake na hata fiesta itakuja je mkuu nae abane?mambo ni kusameheana tu usitake baba amuombe lazi mtoto .
Baba anaweza asimuombe radhi mtoto lakini anatakiwa aonyeshe alichofanya sio sahihi
 
Ingekuwa kiingilio ni kila mtu elf2 tu mara idadi ya ummati Muhammad (S.A.W) uliokaa vitini na waliosimama mule ndani plus umati uliolalama kwa kukosa nafasi ya kuingia uwanjan wakabakia nje kuckliza zingekusanywa hela nyingi sana ila nnachokifurahia kwenye dini yangu tamaa nyuma ibada mbele na kuungana kwenye mambo ya kheri hakuna udini ukabila rangi wala kipato free entry na lengo limefanikiwa Allahu aqbar
Hela za mahujaji zilichapwa na wakristo???
 
tofauti ya kafiri na muislamu ni kwamba kafiri huipenda mno dunia kuliko akhera ndio maana utawakuta wako bize na majengo ya kila aina
wanamavyuo,mashule ya sekondari na msingi
lakini sisi hatuna hivyo lukuki.tazama wao walivyo katika dhiki ya kifikra na kiroho maana huangaika kila uchao kisha wanakwenda kuabudu masanamu na kupeleka pesa zao kwa makafiri wenzao kama sadaka.
Angalia Allah alivyowaahibisha makafiri sisi elimu yetu ya dini twaisoma ktk mazingira duni kwa mujibu wa fikra zao lakini mtoto aliyesoma quran na anayesoma biblia wana tofauti kubwa sana katika kila aspect ya maisha yao ila tofauti kubwa ni kuwa kafiri huwa MUOGA SANA LAKINI MUISLAMU HUWA JASIRI SANA.
Jasiri hata kuweza kuua mtu bila kutafakari.
 
Naam hii sura ilimaliza kila kitu Sheikh, mimi huwa silumbani na mtu. Mtu yoyote akinianzishia mgogoro kwenye haya mambo huwa inakuja Suratul kafirun (kama nipo sahihi), baada ya hapo huwa naachana nae.
Huwa siendelezi zogomo baada ya hapo, akili tu hunipa jibu kuwa huyu ana Imani yake na mimi nna yangu, kwisha habari. Hii sura ilimaliza ubishani usio na msingi.
Tatizo wenzenu wasio na akili kule Zanzibar hawaijui hiyo aya.ukila wakati wa mfungo waakupiga mawe.
 
Back
Top Bottom