Angel Msoffe
JF-Expert Member
- Jun 21, 2011
- 6,781
- 1,639
Mama UNAYEMSHTAKI ANAITWA NANI?sijui! UNAMSHTAKI KWA KOSA GANI? hata sijui UNAUMRI GANI?sijui UNAAKILI TIMAMU?sijui
kesi hii bora ifutwe maana walalamikaji tu hawajajipanga , mtuhumu hajui hata anatuhumu nini, kazi kwelikweli.
Ubungo ni Mnyika maisha. Labda asigombee. Lakini kama nakumbuka vizuri Nape aligombea na huyu mama akashindwa. Ilikuwaje Nape akashindwa?
Kweli naendelea kuamini kuwa ukiwa ccm akili zinakuwa zimejaa kinyesi!
Angalieni mama alivyojikanyaga, kumbe hata kiingereza ni ya kuokoteza!
Masikini CCM masikini HAWA
Mkwerre mwenyewe anaokoteza...Wakili: Unafahamu kingereza?
Hawa: Nafahamu cha kuokoteza!
Hiki jaman ndo kipi?
Angepita huyu leo angekuwa waziri.
Wakili: Unafahamu kingereza?
Hawa: Nafahamu cha kuokoteza!
Hiki jaman ndo kipi?
Angepita huyu leo angekuwa waziri.