Wakili Mwabukusi kumburuza Mahakamani Mkuu wa Mkoa wa Mbeya ndani ya siku 7

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,759
218,380
Wakili Mwabukusi ( Mayweather ) ambaye ni miongoni mwa Watetezi Wakubwa wa Mali za Nchi, akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, amempa siku 7 tu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuomba radhi hadharani kwa kumshambulia kabla hajaburuzwa Mahakamani.

Inatarajiwa Homera ataburuzwa Mahakamani wiki ijayo akishitakiwa yeye kama Homera bila kushirikisha cheo chake cha Kuteuliwa.

Usiondoke JF.

Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
 
Huyo mnafiki amechanganyikiwa. Aache kutafuta cheap popularity. Huyo ni nyau tu.
 
Wakili Mwabukusi ( Mayweather ) ambaye ni miongoni mwa Watetezi Wakubwa wa Mali za Nchi, akizungumza kwenye mkutano wa Waandishi wa Habari leo Julai 12, 2023, amempa siku 7 tu Mkuu wa Mkoa wa Mbeya kuomba radhi hadharani kwa kumshambulia kabla hajaburuzwa Mahakamani.

Inatarajiwa Homera ataburuzwa Mahakamani wiki ijayo akishitakiwa yeye kama Homera bila kushirikisha cheo chake cha Kuteuliwa.

Usiondoke JF.

Pia soma: Mkutano wa Dkt. Slaa, Askofu Mwamakula, Wakili Mwabukusi na Madeleka
Aburuzwe tu, haya ndiyo machawa na majitu majinga kweli kweli,,Wanzanzibari wanapanga kutuibia mali zetu wakishirikiana na Waarabu,yenyewe yanakenua tu,hovyo sana.
 
Back
Top Bottom