Yaliyojiri mahakamani Mnyika vs Hawa Nghumbi case

Nimecheka mbavu sina, duh! Jf kiboko

Nikweli, angekuwa waziri wa Maendeleo ya jamii, jinsia na watoto

Wakili: Unafahamu kingereza?
Hawa: Nafahamu cha kuokoteza!
Hiki jaman ndo kipi?
Angepita huyu leo angekuwa waziri.
 
Ubungo ni Mnyika maisha. Labda asigombee. Lakini kama nakumbuka vizuri Nape aligombea na huyu mama akashindwa. Ilikuwaje Nape akashindwa?

Huo uchaguzi wa nape na hawa nani walipiga kura?
nadhani umepata jibu.
ni sahii hawa kupita
 
Ila nimecheka sana jinsi huyu wakili alivyomcharaza bakora......! Wamefuata ushauri wa Mzee Makamba kwamba kila aliyeshindwa uchaguzi afungue kesi,hii ni kujitafutia fedheha tu
 
sina hakika sana na habari hii kwani nimeisoma kwenye gazeti la mwanchi habari ni tofauti kabisa na hii iliyoletwa hapa.
 
Hapa hakuna kesi, sijui kwanini mahakama inapoteza muda kwa kesi kama hii ambayo ni kama hakuna kesi?
 
Mpaka sasa hivi sijamuona Rejao,Ritz,Mama porojo na Bucho wakichangia hii thread
 
Ilianza hivi

1..DAI LA KWANZA KURA 14854 HAZIJULIKANI ZILIKOTOKEA WAKATI WA MAJUMUISHO
Wakili upande wa mlalamikaji; siku ya kutangaza matokeo ulikuwepo?
Hawa: Sikuwepo
Wakili: kwanini hukuwepo kwenye kituo cha majumuisho?
Hawa: wakala wangu alikuwepo
Wakili: je ulisaini form ya matokeo
Hawa: Sikusain
Wakil: inatakiwa kama hujasaini ujaze form je ulisain?
Hawa: Wakala wangu hakupewa
Wakili: Aliomba?
Hawa: Hakuomba
Wakili: Je unafaham tofauti ya kura zako ulizopata na za mh Mnyika ni ngapi baada ya matokeo kutangazwa?
Hawa: ndio nafaham
Wakili: ni ngapi?
Hawa: 16198
(kwa maana mnyika alipata kura 66742 na Hawa kura 50544)

Wakili: madai yako kuwa kuna kura 14854 ambazo kwenye majumuisho hazieleweki zilikotokea....je unadhan kama ukipewa kura zote na kuassume ni zakwako je zitabadili matokeo?
Hawa: Hazitabadilisha matokeo
Wakili; kama hazibadili sasa madai yako makubwa hasa ni nini?
Hawa: Madai yangu ni ukiukwaji wa utaratibu wa majumuisho
Wakili: Mh.Mnyika anahusika vipi na huo utaratibu?
Hawa; sijui
Wakili: je,,matokeo yaliyoko kwenye form namba 21 ambayo ni ya matokeo ya jumla ya kwenye vituo yanayoonyesha ulipata kura 50544 unamashaka nayo?
Hawa:Sina mashaka nayo
Wakili:Kama huna mashaka nayo basi hakuna tatizo kwenye ushindi wa Mh.Mnyika
Hawa:sikulalamikia ushindi bali utaratibu
Wakili:Kama ndivyo basi inaonyesha huna imani na tume ya uchaguzi?
Hawa:ninaiman nayo
Wakili:Je Unakumbuka siku ya kuhesabu kura mkurugenzi wa uchaguzi kutoka tume Kiravu alikuwepo?
Hawa:ndio alikuwepo
Wakili:we huoni kama mlikuwa mna bahati ya pekee kuwa na mkurugenzi kwenye kituo chenu cha kuhesabia kura?
Hawa:ndio ni bahati kubwa
Wakili:sasa iweje wewe huna imani na utaratibu uliotumika?
Hawa:kwa kweli hata mm hapo sielewi
2..DAI LA PILI:MALALAMIKO YA VITUO KUWA UAINISHAJI WA KURA KWENYE FOM HAUELEWEKI
Wakili:
je ni vituo vingapi unavyovilalamikia?
Hawa:sijui wakala ndiye aliyeniambia mm sikuwepo
Wakili;Kwenye madai ya awali (Amended Petition) ulisema na ukasaini kuwa ulishuhudia wewe mwennyewe na unajua,,sasa iweje hapa mahakaman unakataa?
Hawa;Sina uhakika kama nilisema hivyo
Wakili;Je..Kingereza unakijua?
Hawa;Najua lakini cha kuokoteza
Wakili:Angalia hii (anampatia Amended petition ya madai yake)
Hawa;(Anaangalia )
Wakili:Je haya madai yaliyoandikwa humu na wakili wako na kusainiwa na wewe unayatambua?
Hawa:Ndio nayatambua
Wakili;sasa mbona unapinga hapa mahakaman kuwa anayejua kila kitu ni wakala ilihali wewe umesaini huu waraka?
Hawa:ni kutojua sheria tu.
3..DAI LA TATU :KUKASHIFIWA KWENYE MKUTANO WA TAREHE 11/09/2010 KUWA AMEUZA NYUMBA YA UWT
Wakili:je wakati huo Mh.Mnyika anakukashfu ulikuwepo?
Hawa:hapana sikuwepo ila niliambiwa na shahidi wa pili ambaye ni Robert Bondera
Wakili:baada ya kuambiwa ulichukua hatua gani?
Hawa:sikuchukua hatua yeyote na ndio maana nikaileta huku mahakamani
Wakili;je unazijua form za maadili?
Hawa:ndio nazijua
Wakili:je,ulijaza form na kusaini?
Hawa:ndio
Wakili:form zinaelekeza kama mgombea akikashifiwa wakati wa kampeni anatakiwa aandike malalamiko kwa mwenyekiti wa uchaguzi wa jimbo ambaye ni mkurugenzi .Je ulifanya hivyo?
Hawa:sikufanya
Wakili:je tarehe 30/07/2010 ulihojiwa na TAKUKURU kuhusu tuhuma za rushwa na jalada halijafungwa.ni kweli?
Hawa:ahaaa nilihojiwa ,,ni kweli lakini sikuwa na ufaham wa kukumbuka kama limefungwa au bado.
Wakili:wakati wa kipindi cha mijadala ya mchakato majimboni kuna mwananchi alikuuliza juu ya wewe kuhusika na uuzaji wa nyumba ya UWT..Ni kweli?
Hawa:Ndio ni kweli
Wakili;Ulisema utamshtaki,,je ulifanya hivyo?
Hawa;sikufanya hivyo
Wakili:kwa nn hukumshtaki ilihali ulishatangaza hadharani?
Hawa:nilipuuzia kwasababu haikuwa kweli
Wakili:kutokumshtaki kwako huoni kama kuna ukweli ndani yake?
Hawa:si kweli ..mm ndiye ninayesema
Wakili:wakati wa kampen mlikuwa mnaongozwa na nn?
Hawa:Na ratiba ya kampeni za nje
Wakili:je wakati mnapobadili ratiba ya mkutano mnetumia njia gani ya maandishi au simu?
Hawa;Maandishi
Wakili;Unaijua ratiba ya tume kama ukionyeshwa.
Hawa:ndio
Wakili(anampa na kumwambia asome tarehe hiyo 11/09/2010 ambayo anadai kukashifiwa kwenye mkutano Riverside)
Je,,kwenye hii ratiba inaonyesha chadema walikuwa na mkutano sehemu gani?
Hawa:haionyeshi kama walikuwa na mkutano
Wakili:sasa haya madai ya kukashifiwa tarehe hiyo uliyapata wapi wakati umekiri kuwa hawakuwa na mkutano kwa mujibu wa ratiba ya tume ya uchaguzi
Hawa:niliambiwa na shahidi wangu
Wakili:basi shahidi atatuhakikishia ukweli atakapokuja
HAKIMU
Wakili:
umesema wakati mnyika anatangaza nia ya kugombea alimkashfu Hawa,,je haya maneno ni sahihi?
shahidi:ndio ni kweli

W

Nimeikuta hii kwenye wavuti ya Hawa Ngh'umbi sijaelewa hapo kwenye red walimaanisha nini. "WE WANT SOME ONE WHO CAN BELIVER TO DAY FOR THE FUTURE"
 
Mkurugenzi wa mashitaka alipitia hili jalada kweli?
 
Huyu mama anaumwa...hivi kweli anafungua kesi akiwa mweupe hata hajui cha kufanya.Kweli mwanachama mmoja wa CDM ni sawa na mijiana-chama 1000 ya CCM.
 
Anawatia aibu hata hao wapiga kura waliompa hizo kura elf 50,sijui wanajisikiaje kutoa kura kwa mtu boya kama huyu hawa nghumbi?

Kwenye hizo elf 50 kuna kura za kuchakachua na za halali ndani yake. Ukweli ni kuwa wananchi wengi bado wanapiga kura kwa chama na siyo wagombea. Kwa hiyo hata ukiweka doli ukalivisha nguo za kijani na njano bado kuna wananchi watalipigia kura tu.
 
Back
Top Bottom