Nyalotsi
JF-Expert Member
- Jul 20, 2011
- 6,989
- 5,069
Weredi wa mama unasumbua!
chakula ya mkubwa,alikuwa anataka kumpa wizara ili amsogeze karibu maana kumuita kutoka wilayani alikokuwa ilikuwa tabu sana
Weredi wa mama unasumbua!
huyu mama amekurupuka na hajui hata analolipigania kwenye hii kesi ni kupoteza muda
Kesi nyingine ni waste of resources and time. Mahakama inalalamika haina fedha za kundesha kesi za uchaguzi, kumbe kesi zenyewe ndio hizi? Ndio majibu ambayo wapiga kura wangejibiwa kama wangemchagua kuwa mbunge wao. I wonder how many of these sort of people we have in Parliament.
Wakili: Unafahamu kingereza?
Hawa: Nafahamu cha kuokoteza!
Hiki jaman ndo kipi?
Angepita huyu leo angekuwa waziri
Ni kweli hapo ndio tunapata jibu tuna serikali ya aina gani tunayopewa,
huyu mama alishakuwa mkuu wa wilaya,kwa hiyo alikuwa anamuwakilisha
Rais kwenye wilaya yake na kiingereza chake cha kuokoteza? Inasikitisha!!!
Maana kama huyu alionekana zaidi ya Nape ambaye ni katibu mwenezi wa
chama, basi CCM imejaa VILAZA++.
Nlipata kusikia wakati wa mchakato wa majimboni kipindi cha uchaguzi huyu mama Akijinadi kuwa ni msomi tena kwa PHD kama sijasahau, but kama ndivyo na wasi wasi na alichokisoma isje kuwa ni degree ya heshima maana ndivyo wanavyopeana. Huu uchafu ndo wa kupeleka mahakamani kweli? Nasikitikia magamba kwa kupoteza pesa za wavuja jasho....
hawa watu wanaoitwa hawa wana ghasia sana.
Kuna yule hawa wa edeni na wengine wengi mnaweza mkawakumbuka.