Yaliyojiri Mahakamani kwenye Kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake 3. Kesi yaahirishwa hadi 19/01/2022

Dhamira ya mboe ilikuwa ni kuvuruga amani na utulivu wa nchi kwa kuwatumia watu waliopata mbinu za kijeshi.
 
Dhamira ya mboe ilikuwa ni kuvuruga amani na utulivu wa nchi kwa kuwatumia watu waliopata mbinu za kijeshi.
Acha upungufu wa matumizi ya akili wakunyooshewa kidole ni wale Kwa makusudi walihatarisha usalama wake, ili kumdhoofisha na kushindwa kuhakikisha usalama wa maisha yake na mali zake.
 
Jaji: Baada ya Kusikiliza Pande zote Mbili, Nyaraka zinapokelewa kama ifuatavyo Report ya Uchunguzi Kutoka Forensic Beaural ni Kielelezo namba 22 Report ya Uchunguzi Kielelezo namba 23 Extraction Report ya Simu IMEI 365029115930845 Kielelezo namba

Hizi nyaraka mawakili wa Utetezi wamezikubali kirahisi namna hii inaelekea Kuna Matobo Mengi sana,
Huenda patahitaji pampers zitahitajika kwa Shahidi aisee
🤣🤣🤣mawakili wa jamhuri wanadhani manyaraka mengi yataeadaidia. They believe in quantity
 
Shahidi amemaliza Kielelezo Namba 25 sasa anapewa Kielelezo namba 26 Asome

Msg anazosoma sasa
Mambo
Vp broo
Happy new year bro
Bro mbona kimya
Tutumie nauli tukutane moro
Nipo njian naelekea singia
Nimepata bro
Ok
Tutaongea jion
Mh habari za siku
Salama kaka
Mh mmoja yupo kigoma mtafanya nae kazi
Unamaliza lini uko?
Mwezi wa3 mwishoni
Bro
Upo?
Mara ya mwisho kuwasiliana na ww ulisema unatoka mtwara
Ooh kaka nakuombea heri

Hizi ndizo SHAIDI anasoma Anasema ni msg za FREEMAN na Denis Urio zinazosomwa hapa Mahakamani kutoka kwa simu ya Luteni Denis Urio.
Huo ndio ushahidi Siro alimaanisha ni wa kigaidi.. Kama sms za aina hiyo ni za kigaidi mbona wote sisi ni magaidi??

ujinga mtupu
doh,
 
Huyu ushungi Ni katili Sana,bado anamgagania mtu wa watu Mbowe, anamtesa bure masikini. Bado anavaa maushunghi eti anatimiza matakwa ya dini na Ni muislamu anayetimiza uadilifi Kama dini inavyomtaka
 
Hata Comte anajua Kwa mwendo huu hata yeye ni rigaidi🤸.
Mkuu upande wa mashitaka wanaenda mdogo mdogo ila kwa akili sana- naona Mwamba anagaidishwa na atafungwa kwa ushahidi usio na mashaka.
 
Yani Bavicha wamemsusa kabisa Mbowe?

Inakuwaje uzi wake una coments 30 tu?
 
Back
Top Bottom