Yaliyojiri Mahakama Kuu kwenye rufaa ya Mbowe na Esther Matiko - Machi 6, 2019

Siamini kama issue hapa ni kukiuka masharti ya dhamana. Nafikiri kuna kitu zaidi ya hilo. Maana nakumbuka kama Esther Matiko alikwenda Burundi kwenye mashindano ya wabunge wa Afrika Mashariki. Nafikiri ni ile kauli ya Jiwe kwamba wapinzani wasumbufu waishie tu magerezani. Lile nadhani lilikuwa ni agizo tosha kwa mahakama kuwafunga akina Mbowe
 
Wewe ni wa kipande ipi unajua udhaifu wa Watanzania?

Let me tell you kwamba wewe ndiyo MUOGA NO. 1 hapa nchini ambae umekwepa hata utaifa wako kwa kujipa nafsi ingine kama mtu wa nje ya TZ.

Sent using Jamii Forums mobile app
Unajuaje kama mimi Mtanzania,

Ama sababu naandika lugha ya Kiswahili??

Inawezekana pia kuwa mtanzania nisiye ongozwa na serikali ya Tanzania!! Ama unasemaje?
 
Asante GENTAMYCINE


 

Kesi yenyewe ni kama wame bambikiziwa ,walio fanya Mauaji wanapeta tu Uraiani ..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…