Mtoto wa nzi
JF-Expert Member
- Jun 6, 2012
- 9,019
- 16,152
Jamani jamani....Mahita akasema walipanga kufanya vitendo vya kigaidi pamoja na kumdhuru sabaya kwa spray ya sumu na viongozi wengine, je viongozi wengine kina nani, shahidi anarudi "sabaya", wengine kina nani, "sabaya" taja majina ya viongozi wengine waliotakiwa kudhuriwa, "sabaya"🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na pengine hata hawakuwa na silaha yoyote wamefanya kama ya kumpea pembe za ndovu yule baba wa watu.....na ukijiuliza bastola ya risasi tatu ndo ingeua sabaya na wengine, ikate magogo iweke barabarani, ilipue vituo vya mafuta miji yote waliyoitaja, alafu yooote hayo yanapangwa kufanyika mikoa yote kamati za ulinzi na usalama hawajawai jua, ila kingai na mahita sjui na jumanne wakayajua!
Kesi hii imeunajisi sana mhimili wa Mahakama. Mahakama inadharaulika kama linavyodharaulika Bunge la yule mbilikimo,na majaji wanadharaulika kama wanavyodharaulika wabunge wa bunge hili la akina Babu Tale.Huyu Jaji Liganga ni wa ajabu kabisa . Hata kijana wa IJA (Chuo cha mahakama Lushoto , certificate na diploma) anafahamu kuwa non citation or wrong citation of the enabling provision of the law to MOVE the court ni fatal. Sasa kweli hili lina cha kuhairisha kesi mpaka kesho , angelitoa uamuzi hapo hapo Erythrocyte , mkataeni huyu jaji please! MKATAENI HUYU JAJICCM, ameletwa kutoka mwanza kwa kazi maalumu...KUMFUNGA MBOWE.
Nawawekea kesi msome
Waliotengeneza kesi hii ni TISS bila chenga. Hao jamaa ni wabovu kuliko Polisi mara 10.Wangelikuwa watu wa system wangelisubiri kwanza wakusanye ushahidi wa kutosha ili kuweza kumtia hatiani na sio kama sasa na huu ushahidi wa kuunga unga.
Msitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?Tupo tunafuatilia, quorum (akidi) ya kijiwe chetu pia imekamilika kusikiliza kijiditali mwenendo wa kesi hii kwa umakini kinachoendelea huko mahakamani.
UZITO WA PINGAMIZI LA UPANDE WA MAWAKILI WA UTETEZI KUHUSU HATI YA KUKAMATIA MALI HAUKUFUATA SHERIA ZA TANZANIA WACHAMBULIWA
AWALI MTAFARUKU BAADA YA WATU WAZUIWA KUINGIA LEO 8/11/2021 MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI
MWANZO MWISHO WA KILICHOTOKEA LEO KESI YA MBOWE, KIBATALA ATOA PINGAMIZI ZITO JAJI ASIMAMISHA KESI
Msitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?Kesi hii imeunajisi sana mhimili wa Mahakama. Mahakama inadharaulika kama linavyodharaulika Bunge la yule mbilikimo,na majaji wanadharaulika kama wanavyodharaulika wabunge wa bunge hili la akina Babu Tale.
Kama ndio hivyo bila Shaka hii kesi Ina mkono wa serikali moja kwa moja toka jumba jeupeMsitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?
Ni kweli kabisa huyu amekuja ku justify matakwa ya ofisi kuu ya kumfunga Mbowe na hukumu tayari imeshaandikwa.Msitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?
Kweli mkuu. Angekuwepo yule Kichwa kesi wangeitema.Mzee wa Csqr =Bsqr +Asqr!! Umenena kweli
Ile kumtoa mbali ni kujaribu kuhadaa watu kwamba atakuwa mtu neutralMsitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?
Wewe ni kingai? Akishinda utabeba mimba ya mbwa?MBOWE ondoa mawakili, hiyo kesi hushindi
Kwa elimu tu sio haba. Inanifundisha na mimi kuwa makini kwenye kazi yangu niliyosomea.
Akina Kibatala had been always a class to learn.
Angekuwepo yule Kichwa Tundu Lissu a learned civilized person naona Majaji kesi wangeitema.
Matusi ya nini sasa kaka? Spread love.Wewe ni kingai? Akishinda utabeba mimba ya mbwa?
Mengi sana tunajifunza wanajitolea ktk mazingira yenye vitisho vikali lakini hawajawahi kutetereka. Wanafanya kazi iliyotukuka.I wish ningechukua njia yenu,
inavutia sana kutumia akili nyingi, katika kutafuta nakuipigania haki yawengine,
like how wana fanya hawa Wanasheria Wasomi.
Wanafanya kazi nzuri,
tunajifunza mengi mengi from them..
Upinzani gani tena!? Sema CDM. Upinzani gani mwingine uongozi mzima (mgt) ilishawahi sukumwa ndani kwa visingizio visivyo na miguu wala mikono!Tunatumia muda na pesa nyingi kupambana na upinzani badala ya kipambana na umaskini.
Mkuu nipo hapa vwawa hospital, tufahamianeYaani niko huku Mbozi lakini niko Dar pia.
Tuendelee kufatilia kwa karibu na maombi ya kulia kwenye kesi ya Mh Mbowe.Mkuu nipo hapa vwawa hospital, tufahamiane
kama aliweza kumbambikizia mzee wa watu pembe za ndovu ,atashindwaje kumbambikizia mtu bastola? anayo asili ya uovuKusimamishwa siyo kuachishwa.