Yaliyojiri Mahakama Kuu kesi ya Mbowe na wenzake. Superitendent Jumanne Malangahe atoa ushahidi, Kesi imeahirishwa hadi Nov 9, 2021

Mahita akasema walipanga kufanya vitendo vya kigaidi pamoja na kumdhuru sabaya kwa spray ya sumu na viongozi wengine, je viongozi wengine kina nani, shahidi anarudi "sabaya", wengine kina nani, "sabaya" taja majina ya viongozi wengine waliotakiwa kudhuriwa, "sabaya"🤣🤣🤣🤣🤣🤣 na pengine hata hawakuwa na silaha yoyote wamefanya kama ya kumpea pembe za ndovu yule baba wa watu.....na ukijiuliza bastola ya risasi tatu ndo ingeua sabaya na wengine, ikate magogo iweke barabarani, ilipue vituo vya mafuta miji yote waliyoitaja, alafu yooote hayo yanapangwa kufanyika mikoa yote kamati za ulinzi na usalama hawajawai jua, ila kingai na mahita sjui na jumanne wakayajua!
Jamani jamani....
 
Huyu Jaji Liganga ni wa ajabu kabisa . Hata kijana wa IJA (Chuo cha mahakama Lushoto , certificate na diploma) anafahamu kuwa non citation or wrong citation of the enabling provision of the law to MOVE the court ni fatal. Sasa kweli hili lina cha kuhairisha kesi mpaka kesho , angelitoa uamuzi hapo hapo Erythrocyte , mkataeni huyu jaji please! MKATAENI HUYU JAJICCM, ameletwa kutoka mwanza kwa kazi maalumu...KUMFUNGA MBOWE.
Nawawekea kesi msome
Kesi hii imeunajisi sana mhimili wa Mahakama. Mahakama inadharaulika kama linavyodharaulika Bunge la yule mbilikimo,na majaji wanadharaulika kama wanavyodharaulika wabunge wa bunge hili la akina Babu Tale.
 
Wangelikuwa watu wa system wangelisubiri kwanza wakusanye ushahidi wa kutosha ili kuweza kumtia hatiani na sio kama sasa na huu ushahidi wa kuunga unga.
Waliotengeneza kesi hii ni TISS bila chenga. Hao jamaa ni wabovu kuliko Polisi mara 10.
 
Tupo tunafuatilia, quorum (akidi) ya kijiwe chetu pia imekamilika kusikiliza kijiditali mwenendo wa kesi hii kwa umakini kinachoendelea huko mahakamani.

UZITO WA PINGAMIZI LA UPANDE WA MAWAKILI WA UTETEZI KUHUSU HATI YA KUKAMATIA MALI HAUKUFUATA SHERIA ZA TANZANIA WACHAMBULIWA

AWALI MTAFARUKU BAADA YA WATU WAZUIWA KUINGIA LEO 8/11/2021 MAHAKAMA KUU DIVISHENI YA RUSHWA NA UHUJUMU UCHUMI

MWANZO MWISHO WA KILICHOTOKEA LEO KESI YA MBOWE, KIBATALA ATOA PINGAMIZI ZITO JAJI ASIMAMISHA KESI

Msitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?
 
Kesi hii imeunajisi sana mhimili wa Mahakama. Mahakama inadharaulika kama linavyodharaulika Bunge la yule mbilikimo,na majaji wanadharaulika kama wanavyodharaulika wabunge wa bunge hili la akina Babu Tale.
Msitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?
 
Tamthilia ilikosa mwandishi bora , unapambana na gaidi eti unaenda hatua kadhaa kuita mashahidi kushuhudia upekuzi!? Mbona tuna kina Gabi wangesaidia??
 
Msitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?
Kama ndio hivyo bila Shaka hii kesi Ina mkono wa serikali moja kwa moja toka jumba jeupe
 
Msitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?
Ni kweli kabisa huyu amekuja ku justify matakwa ya ofisi kuu ya kumfunga Mbowe na hukumu tayari imeshaandikwa.
 
Msitegemee lolote zuri kutoka kwa Liganga. Ametoka Mwanza kwa Ndege, first class, amekuja kwa ajili ya hili tu! Most likely anakaa Kempinsk, five star hotel bure, analipiwa mahela yote hapo hotelini ontop of Per diem kubwa ya bure, lna ULINZI wa polisi 2, leo utegemee atende haki? Jiulize kwani hapakuwa na majaji Dar?
Ile kumtoa mbali ni kujaribu kuhadaa watu kwamba atakuwa mtu neutral
 
Kwa elimu tu sio haba. Inanifundisha na mimi kuwa makini kwenye kazi yangu niliyosomea.

Akina Kibatala had been always a class to learn.

Angekuwepo yule Kichwa Tundu Lissu a learned civilized person naona Majaji kesi wangeitema.

I wish ningechukua njia yenu,
inavutia sana kutumia akili nyingi, katika kutafuta nakuipigania haki yawengine,

like how wana fanya hawa Wanasheria Wasomi.

Wanafanya kazi nzuri,
tunajifunza mengi mengi from them..
 
Mengi sana tunajifunza wanajitolea ktk mazingira yenye vitisho vikali lakini hawajawahi kutetereka. Wanafanya kazi iliyotukuka.
 
Tunatumia muda na pesa nyingi kupambana na upinzani badala ya kipambana na umaskini.
Upinzani gani tena!? Sema CDM. Upinzani gani mwingine uongozi mzima (mgt) ilishawahi sukumwa ndani kwa visingizio visivyo na miguu wala mikono!
Kuhusu kupambana na umaskini, nani kasema CCM ina wajibu huo miaka 60 baada ya Uhuru!?
Ingia vijijini uone hali ya maskini ilivyo, wanavyopambana na magonjwa ktk mazingira haya ya gharama kali za afya ulinganishe na bajeti za kuwatunza wanasiasa ambao wanao uwezo wa kujishughlikia wenyewe tayari, wanavyojengewa majumba wasiyo yahitaji, kununuliwa magari ya kifahari... nk.
Fuatilia yanayowasibu wazee na familia tegemezi zao halafu uje ktk matumizi hayo ya ugaidi wa bajeti ya laki 6, kulipua vituo vya mafuta kwa bastola moja na risasi tatu, kuua viongozi kwa spray yenye sumu, kuangusha miti na magogo barabarani bila shoka wala chain saw na yote hayo kwa kutumia magaidi watatu tu!- kazi nyingi wafanyake3azi wachache!
Yaani, wengi tunajua kwamba tunaye adui ujinga, lakini kiasi utawala kutufikiria ni wajinga ktk level hii...dah!
Sasa kazi iko kwa hakimu. Kama keshapewa hukumu au maagizo toka juu...haaya! kama atapindisha hukumu kwa kujali maslahi yake...haaya! kama ataamini ugaidi wa bajeti hiyo na idadi ya magaidi hiyo...haaaya! Yetu macho.
Tumwombee Mungu amjalie "agangamale wala asijitoe"atende lililo sahihi na haki ktk mazingira hayo magumu. Mungu ni mwema kila wakati
 
25 Reactions
Reply
Back
Top Bottom