KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,189
- 17,157
Habari hii ni ya kweli?Huyu Jumanne ndiye yule akiwa na wenzake walimuwekea mzee wa watu meno ya ng'ombe kwenye mizinga yake na wakamwambia Ni meno ya Tembo wakampola milioni 100?
View attachment 2002918
Na tunaamini kwamba kweli Mungu yupo; na tunasimama mbele ya mahakama na kuapa kwa jina lake?
Hapana, hatuhitaji uwepo wa Mungu kwa binaadam kufanya ubinaadam kwa binaadam wenzako.