Umenimalizia siku yangu kwa kicheko sana leo
Hata mm nimecheka sana.
Umenimalizia siku yangu kwa kicheko sana leo
Sasa MAKAMANDA tunasubiri nini zaidi ya kuandaa tu magwanda na nauli za kwenda kushughudia KAMANDA akiingia MAGOGONI sababu hii nchi tumeshaibeba MAKAMANDA.
Ila cdm hapo kwa Bulaya mmelamba dume!napiga picha kama yeye na Mdee wakirudi bungeni hiyo formation itakuwaje?
Anayepiga bun ni wewe hilo halinipi taabu, ila habari ndo hiyo! Kazi inaendelea na bado kuna wengine wanakuja jiandaeni teh teh teh
Si ww tu!!!!shepu ya huyu esta bulaya inanipagawisha sana
Aleja...!!
mbona unajichekesha...
Bulaya mumewe ni nani?
Lizibono makapi yamebaki ccm sisi tunabeba zile cream tuuu
Namsubiria na mmoja deo na kangi yaani hapo usajili utakuwa umekamilika
Si ww tu!!!!
Muda si mfefu gwanda litakuwa vazi la Taifa. Tujivunie Utanzania. kijani itabakia Jangwani
Bulaya mmewe ni makomeo.Mapanya wa lumumba wako shimoni wamejificha dawa ni kali
cream gani hiyo?Hahahahaa hatuchukuagi makapi tunachukuaga cream ya CCM kwa asilimia 99%.