Mwakaboko King
JF-Expert Member
- Apr 22, 2015
- 1,099
- 207
Aliebuni hilo vazi alitakiwa apewe tuzo ya mbunifu bora wa mavazi Duniani, we mcheki Esther alivyotoka bomba nadhani Magamba yakimuona saiv roho zinawauma, Pia ningependa kumjua mbunifu wa hilo kombati jamani.
Naona mbunifu atakua muasisi wa Chama!