Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Yaliyojiri leo mapokezi ya Bulaya na Lembeli; CHADEMA waitikisa Bunda

Ni kweli mkutano ulikuwa mkubwa sana, mwitiko wa watu wa Bunda ulikuwa ni wa kutisha, wakati huo huo leo Mbuge aliyemaliza muda wake Mhe Wasira alizipiga kavu kavu na Mwenyekiti wake wa Mkoa ambaye naye analitaka jimbo la Bunda. Maoni yangu ni kuwa kama wako watu wa karibu na vicent Nyerere ni vyema wamshauli abadili namna anavyohotubia, hotuba zake hazina mvuto kabisa, wakati wote ni mizaha, kitu ambacho anawapoteza watu wazima na wenye heshima zao. Watu wengi hawafurahishwi na hotuba za huyo mbunge wa Musoma Mjini.
 
Hao wachumia tumbo tu kama yule baba ndo simuamini kabsa sjui kaona atakatwa kwenye kura za maoni anawapondea watu aliofanya nao kaz siku zote huo unafki tu. Wameona watu hawawapend yanga ndo wameamua kuja kwetu ili wapte wapo kimaslahi tu hao wasituharibie chama chetu

Kaanzishe chama chako na ukoo wako maana msajiri ni wenu
 
cream gani hiyo?
Bulaya ametokea Viti maalumu UV-CCM
hajawahichguliwa na wananchi
kwake hii ni mara ya kwanza

Kwa hiyo wakati yupo ccm alikuwa anawakilisha Mwenyekiti wa mtaa?
 
Ni kweli mkutano ulikuwa mkubwa sana, mwitiko wa watu wa Bunda ulikuwa ni wa kutisha, wakati huo huo leo Mbuge aliyemaliza muda wake Mhe Wasira alizipiga kavu kavu na Mwenyekiti wake wa Mkoa ambaye naye analitaka jimbo la Bunda. Maoni yangu ni kuwa kama wako watu wa karibu na vicent Nyerere ni vyema wamshauli abadili namna anavyohotubia, hotuba zake hazina mvuto kabisa, wakati wote ni mizaha, kitu ambacho anawapoteza watu wazima na wenye heshima zao. Watu wengi hawafurahishwi na hotuba za huyo mbunge wa Musoma Mjini.

yaani mapanya ya lumumba yatashaa .... Baba riz alimkata makongoro ktk 5 bora akamweka ndugu yake membe
 
Bulaya ni Mbunge tayari, hebu fanyeni mipango Kangi Lugora atie timu
 
Leo mapanya ya Lumumba yamekimbilia shimoni maana siyaoni humu???

Mkuu mapanya ya Lumumba yamechungulia yakaona paka kapaki basi mapanya ya Lumumba yapo shimoni yana chungulia meno juu
 
Bulaya na Mdee ni mtu na nani wake? Watanzania wanahoji!!!

Sema wewe unahoji.Sababu akili yako ndipo ilipoishia.Pole kwanini uulizie mitandaoni?wafuate uwaulize.Waheshimuni wengine,pamoja na kwamba hamuwapendi.Vivyo hivyo upinzani siyo uadui wala haiitaji kudhalilisha wengine kwa jinsia zao.Hata wanawake wanahaki ya kuwa marafiki na hawapaswi kudhalilishwa sababu ya hali zao za kuwa single.

Naomba utuheshimu.Tunahaki ya kupewa heshima pamoja na kuw wanawake.Angalieni michango yetu kwenye Taifa,mtuhukumu kwa performance lakini si kutudhalilisha mitandaoni,haipendezi.
 
Back
Top Bottom