Yaliyojiri leo Arusha - Picha na video

Kama kawa kama dawa. Haina NOMA kamanda wangu wataisoma tu. Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu CDM ni moja, tupo pamoja kuliko size ya kawaida. Amani kwako amani kwa mbowe amani kwa wana cdm wote
 
Tafuta hoja zenye mashiko mtu hataki kufuata sheria unataka aachiwe kisa KUB , haiwezekani ! tunajua amedhalilishwa ila ajifunze kulikuwa hakuna jinsi

nina waswas na uwezo wako wa kufikiri. Hivi unajua gharama zilizotumika kumsafirisha mbowe zingeweza kumnunulia bibi yako vitanda vya zahanat kijijin pamoja na kujenga nyumba za walimu wangap?mbona wamemuachia.uwezo wa kufikiri kwa magamba ndo umefika kikomo. Mnakaribia tena kutamka sijui kama lile shairi la mwanakijiji.
 
kulaleki mimi nahamia Arusha huko ndio kuna wanamapinduzi wa kweli, ndio maana JK hapapendi , kwanza watu kule wana pesa hali ya hewa nzuri wanaakili hawadanganyiki ,kulaleki cheki mikoa ya ruvuma huko kusini huko ccm inashinda kila siku wanajua zile kanga na kofia ndio haki yao kupewa hawajui kuwa nchi ina rasilimali nyingi wamejazwa udini kuwa chadema ni ya wachaga(NAPE) na wakristo huku wakiwafumbia macho kina Zitto na profesa Safari. kulaleki nipokeeni Arusha sooon!
thanks kijana wangu wa ukweli Crashwise.

Naona aibu kusema nimecheka sana hadi kutoa machozi. Karibu Arusha au A1.
 
great job,big characterised thinking.BIG UP BROTHER.
Tungeonaje kama usingekua na huyo mchina?
Tungeishia kudanganywa tu.Lazima tufike pale panapotarajiwa na watz.
 
Hoooo! Nguvu ya umma, maneno mengi tu.hiyo ndio nguvu ya umma?.harafu naona mnasifiana kimsimu cha mchina kwa nini msiisifie serikali ya ccm kwa kuboresha mawasiliano kiasi kwamba tunapata mambo fasta namna hii?.hakika asiyeweza kumshukuru binadamu mwenziye hata mungu hawezi kumshukuru.

***** wewe.
 
R chuga is for real people sio wababaishaji au waoga wanatii kiu ya hisia zao.PEOPLE'S POWER FOR BETTER LIFE FOR ALL
 
Asante sana mkuu.Huku mbeya watuwabishi sana picha zimedhirisha kuwa arusha jiji.Pamoja sana mkuu.
 
Hiyo picha ya kwanza kuna jamaa anamsindikiza Mbowe na machine gun hii inaonyesha nini? Polisi hawajui kutofautisha aina ya washtakiwa ndio maana wanaishia kuwa wauaji. Mtuhumiwa kama Mbowe na kosa linalompeleka Mahakamani bunduki ilikuwa ya haja gani? Elimu bado inahitajika sana kwa jeshi letu la Polisi.

Hata Ratco Mladic hakupelekwa mahakamani namna hiyo. Tanzania tunajibebea bunduki tu sababu ya uoga wa Polisi lakini kwa well trained Police huwezi kuitegemea bunduki kwa kiasi hicho. Angalia hata Polisi wa marekani wanavyopeleka wahalifu mahakamani sio rahisi kubeba beba AK 47 kwa sababu wanao ubavu wa kuwathibiti hao jamaa.

Polisi wetu kwa jinsi walivyokondeana hata upepo ukija mkali wanaweza kuanguka na ndio maana hutegemea bunduki kuliko mafunzo waliyopewa.
 
Mwaka huu kama kuuliwa tutauliwa sote,lakini hakuna kuburuzwa mtu na ccm,wakati umefika wananchi kuamua,ccm iondoke madarakani,haya maandamano muliofanya tunatakiwe tuyasimamishe tanzania nzima hadi ccm itoke madarakani,tulale njee hata mwaka mzima lakini ccm itoke madarani,,,,

Waliwezake Tunisia tusiweze sisi ? Au wananchi wa tunisia walitumia bunguki ? Hapana,walitumia umoja,umoja ndio nguvu. Basi tushikamaneni tuwatoe mahafidhina wetu .....


Mupoooooooooooooooooooo
 
amebebwa mboye.jpg



Picha: Kwa hisani ya gazeti la mwananchi
 
Back
Top Bottom