Yaliyojiri leo Arusha - Picha na video

Asante Mkuu kwa taarifa picha ziko vizuri tunasubiri picha zaidi jinsi wana cdm walivyojitokeza arusha kwenye taarifa za habari walibana sana picha.
 
Asante Mkuu kwa taarifa picha ziko vizuri tunasubiri picha zaidi jinsi wana cdm walivyojitokeza arusha kwenye taarifa za habari walibana sana picha.
Mkuu yana vyombo vya habari walijitahidi kuonyesha kilichotokea ingawa ilikuwa kwa kifupi hata hiyo kivideo kilichoko hapo juu kinatosha kupata picha halisi, sikupiga picha zaidi kwa sababu kama 4.
1.Nilikuwa natumia simu kupiga picha au kurekodi..
2.Muda mwingi nilikuwa na browse kuwaletea kilichokuwa kikiendelea
3.Wakati mwingine nilikuwa na vaa kofia ya unachamana na upenzi wangu kwa CDM, hivyo kuya weka kando ya picha na video....
4. watu walikuwa ni wengi hivyo kuna matukio yalikuwa yanafanyika mimi nikiwa sehemu nyingine
 
Kwa hiyo maandamano lini tena makamanda wa Kiboroloni
Labda uwe wazi zaidi maana sisi CHADEMA tuna maandamano mengi hasa hapa Arusha...
1. kumpiga meya fake wa Arusha....
2. Kupiga mchakato fake wa katiba....
3. Ongezeko la garama za maisha...
4. Kamata kamata ya viongozi wa vyama vya upinzani hasa CDM na mauwaji yanayofanywa na polisi
5. na mengine mengi yenye maslahi na taifa
Sasa wewe unauliza yapi?
 
Back
Top Bottom