Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,970
Wanatumia mamilioni kumsafirisha mbowe kwa private jet ya jwtz na magari mengi ya escot lakini hwawezi kumshika ridhiwani na kumhoji anatoa wapi mamilioni.
Kwa jinsi nchi hii ilivyoharibika, usikute huo ulikuwa ni mchongo wa wakubwa ndani ya jeshi la polisi na wenye jet ili wavute ten percent zao kwa kisingizio cha kumsafirisha Mbowe-mtu hatari kwa ustawi wa serikali dhalimu ya wanamagamba!!