Yaliyojiri leo Arusha - Picha na video

Hiyo picha ya kwanza kuna jamaa anamsindikiza Mbowe na machine gun hii inaonyesha nini? Polisi hawajui kutofautisha aina ya washtakiwa ndio maana wanaishia kuwa wauaji. Mtuhumiwa kama Mbowe na kosa linalompeleka Mahakamani bunduki ilikuwa ya haja gani? Elimu bado inahitajika sana kwa jeshi letu la Polisi.
 
Wana JF,

Kweli Mtu kama mbowe analindwa utadhani ni mfungwa as if amefanya au kashiliki president assassination, Ulizi ulio tolewa kwa mbowe ingekua ni bora wakatulindie mali za nchi yetu kutorosha nje kama Magogo, Mchanga wa dhahabu ,Almasi na vinginevyo.

Serikali imeingia gharama ya juuu kweli me nisha waambia serikali ya JMK inatengeneza a Time BOOM nali limekaribia kufika

Mkuu ungeona jinsi alivyo letwa pale mahakamani ungeshanga sijawahi kuona hata wale wa Rwanda huwa siyo hivyo....
 
Hiyo picha ya kwanza kuna jamaa anamsindikiza Mbowe na machine gun hii inaonyesha nini? Polisi hawajui kutofautisha aina ya washtakiwa ndio maana wanaishia kuwa wauaji. Mtuhumiwa kama Mbowe na kosa linalompeleka Mahakamani bunduki ilikuwa ya haja gani? Elimu bado inahitajika sana kwa jeshi letu la Polisi.
Kwani ni mmoja tu leo zilikuwa nyingi sana kila polisi wawili moja anabunduki na walikuwa zaidi ya 70....
 
Mwanzoni MS alisema yafuatayo kabla ya picha kulettwa
kwani hawezi kupelekwa kwa gari hiyo? Tupe ushahidi kwamba mbowe kasafirishwa kwa gari la kifahari? Kwani ni rais wa nchi?

Baadaye picha zikaja, na mojawapo ni hii hapa;
attachment.php

Baada ya kuona ukweli wenyewe, MS akaishiwa hoja na kuandika yafuatayo;
Duhu. Kama vile waasi wa angola

Sasa basi ni dhahiri kwamba MS anastahili kuendelea kupewa BAN pasipo huruma kwani matendo yake yanamhukumu yenyewe! Nawasilisha!
 
Kwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.
Baada ya kutoka kwenye gari walilomleta nalo hawakumzuia kusalimiana na wana-CDM...maana mahakama ililipuka Peoplezzzzzzzzzzzzzzzzzzzz
 
Kwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.

Fikiri kwanza kabla ya kuandika kuna ulazima gani wa kutumia gharama kubwa kwa kodi za wananchi na kumlinda mtu kama unalinda gaidi la kimataifa au ulinzi wa Rais wa marekani Barack Obama then unamfikisha mahakamani then unamwachia then unawasifia kwa ujinga. NI mamilioni mangapi ya wananchi watz wanalala njaa, hku huduma kama shule na afya zikizidi kuzorota.
 
Mwanzoni MS alisema yafuatayo kabla ya picha kulettwa

Baadaye picha zikaja, na mojawapo ni hii hapa;
attachment.php

Baada ya kuona ukweli wenyewe, MS akaishiwa hoja na kuandika yafuatayo;

Sasa basi ni dhahiri kwamba MS anastahili kuendelea kupewa BAN pasipo huruma kwani matendo yake yanamhukumu yenyewe! Nawasilisha!
Mwabie aangalie Channel Ten naamini watakuwa wanapicha zuri sana maana mimi mda mwingi simu niliyokuwa nachukulia picha ndiyo niliyokuwa natumia kubrowse.....halafu ili kuchukua picha nzuri ilitakiwa kupanda kwenye magari hasa ya polisi hivyo waliyofanya hivyo ni waandishi wa habari hasa wa TBC....
 
mchina amefanya kaz nzuri naona pcha co mbaya....i cnt comment abt Mbowe but kama ni swala la ulinzi bac ulikuwa wa ukwee
 
Serikali ya Kikwete imeshindwa. Tutaandaa mabomu ya petrol kulipiza kisasi next time wakirudia watakiona cha moto.
 
Crashwise hizi picha ulizoweka kuna watu umewaharibia siku maana walishaanza kuchonga kama kawaida yao.

Barikiwa 100%
 
Wasingemwachia leo MBOWE wangeiona nguvu ya uma nchi nzima,malimbukeni wakubwa hawa CCM
 
Kwa maana iyo zile gharama ambazo Mboe angetumia kwenda Arusha zimelipwa na serikali:becky:
 
Hawa magamba mwisho wao umekaribia, hata wafanye nini hawawezi kuwabadilisha watanzania mawazo yao. Big up CHADEMA
 
Back
Top Bottom