CCM mnajidanganya mwisho wake ni aibu tupu!hamwezi kushinda vita hii ni vita ya umma!!Tafuteni mbinu yenye busara kutumia Dora haiwezi kuwa suluhisho kamwe kwa ajiri ya kunyamanzisha wapinzani!
View attachment 31560View attachment 31561View attachment 31562
View attachment 31563View attachment 31564View attachment 31565
View attachment 31566View attachment 31567View attachment 31568
View attachment 31569
Hii ni kabla ya kesi na wakati kesi inaendelea...Mtanisamehe nimepiga picha kwa simu yangu ya mchina...
Kwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.
Mwanzoni MS alisema yafuatayo kabla ya picha kulettwa
Baadaye picha zikaja, na mojawapo ni hii hapa;
![]()
Baada ya kuona ukweli wenyewe, MS akaishiwa hoja na kuandika yafuatayo;
Sasa basi ni dhahiri kwamba MS anastahili kuendelea kupewa BAN pasipo huruma kwani matendo yake yanamhukumu yenyewe! Nawasilisha!
Hebu tumia jina lako vizuriTHINK TWICE. au umetumwaKwa ulinzi huu ulivyo imarishwa hata nzi na uhakika hakusogea , licha ya wapenzi wa cdm. Hongereni jeshi la polisi kwa kutekeleza sheria ya nchi, na huu uwe ni mfano kuwa next time lazima afuate sheria.
View attachment 31560View attachment 31561View attachment 31562
View attachment 31563View attachment 31564View attachment 31565
View attachment 31566View attachment 31567View attachment 31568
View attachment 31569
Hii ni kabla ya kesi na wakati kesi inaendelea...Mtanisamehe nimepiga picha kwa simu yangu ya mchina...
Hapo mambo safi cdm kama mngelegeza kamba tu jamaa asingetoka, nawapa big up watu wa Arusha kwa kumpa company kamanda wetu, mi binafsi nimeridhishwa sana na hatua hiyo kwani hata sisi tulioko kwenye system tumeshaichoka CCM ila basi tunatekeleza ilani ya chama cha magamba kinafiki tu tufanyeje ila ndani ya mioyo yetu ni CDM damu damu. Peoples....................................................!
Barikiwa sana mkuu wetu ,kazi yako ni kuu sana mioyoni mwetu.
Mbowe ni mhalifu lazima achukuliwe sheria. Ww unasema balali amefichwa wapi alipo fichwa ? acha kuongea kwa akili za kufikirika, ongea hoja zenye mashiko. Au mumeo ndio amekuambia uongee hivyo