Mwita Maranya
JF-Expert Member
- Jul 1, 2008
- 10,564
- 7,973
Wanatumia mamilioni kumsafirisha mbowe kwa private jet ya jwtz na magari mengi ya escot lakini hwawezi kumshika ridhiwani na kumhoji anatoa wapi mamilioni.
ccm wabishi kweli......
Hivi unapokuwa unaandika hizi comments kama JF Senior Expert Member huku kukiwa na picha pamoja na video ambazo zinakwenda kinyume na hizo comments ninakuwa na tabu kidogo hizi membership status.
There is a big difference between get educated and get education. Kuelimika na kupata elimu.
kasome kitabu cha Salman Rushdie utajua ww ni mfuasi wa nn
Afadhali umeliona hili, nitatizo kuibwa lakini kuna mapumbavu hapa wanashabikia serikali kutumia nguvu kubwa wakati wakivunjiwa usiku walinda usalama hawaonekani
Wana JF,
Kweli Mtu kama mbowe analindwa utadhani ni mfungwa as if amefanya au kashiliki president assassination, Ulizi ulio tolewa kwa mbowe ingekua ni bora wakatulindie mali za nchi yetu kutorosha nje kama Magogo, Mchanga wa dhahabu ,Almasi na vinginevyo.
Serikali imeingia gharama ya juuu kweli me nisha waambia serikali ya JMK inatengeneza a Time BOOM nali limekaribia kufika
Mkuu madudu haya hayako p[olisi tu...Mfano Manispaa ya Arusha ilishitakiwa ikidaiwa mil 3, mdai akashinda kwa mshangao wa wengi mwanasheria wa Manispaa akakatarufaa na kumtafuta wakili na kumlipa mil 6, sasa jiuli kama unaakili unaweza kukata rufaa iliitakayo kugarimu mil 6 na ili ukoe mil 3...Ni vizuri tukawapima uwezo wa akili wa baadhi ya viongozi wa police maana ukiangalia gharama zilizotumika kumlinda na kupeleka Arusha mh. Mbowe zingewe za kuokolewa kwa kumwambia Mh. Mbowe tukutane Arusha angeenda mwenyewe na pesa husika zingeweza kununulia vitanda vya hospital ya Amana.
Hebu angalia nini kimefanyika baada ya kumfikisha Arusha? Je nani atafidhia pesa hizo? Magesa nini umepata zaidi ya kuigombanisha Serikaali na Wananchi?
Mkuu madudu haya hayako p[olisi tu...Mfano Manispaa ya Arusha ilishitakiwa ikidaiwa mil 3, mdai akashinda kwa mshangao wa wengi mwanasheria wa Manispaa akakatarufaa na kumtafuta wakili na kumlipa mil 6, sasa jiuli kama unaakili unaweza kukata rufaa iliitakayo kugarimu mil 6 na ili ukoe mil 3...
watu waliofika leo walikuwa tayari kwa lolote kuna mtu mmoja alisema nyamazeni wasije wakatupiga mabomu aliondolewa akiambiwa amefata nini kama anaongopa mabomu ya machozi ni bora aende nyumbani tubaki hata 20 ambao tutakuwa tayari kwa lolote....kama leo wang'etumia nguvu au wang'e mkatalia mdhamana hakika yangetokea maafa zaidi ya tarehe 5.1.2011 kwani leo sime,bisibisi, visu na nk virikuwepo vya kutosha....Kirashiwaizi,
shukrani sana sana mkuu. Hapo awali nilikuwa nimejiuliza iweje leo kuna tukio la ukombozi arusha hatupati picha jambo ambalo siyo kawaida ya arusha
Nguvu inayooneshwa humo kwenye hiyo video ni kubwa kuliko ile ya JK na FFU wake wote!
Niliwahi kusema hapa kwamba "Wataelewa tu" na huu ndio mwanzo. Mbona watu wameandamana na hakujatokea fujo wala wizi
This time intelijensia imesomeka sawa