Uchaguzi 2020 Yaliyojiri kwenye mikutano ya Kampeni za Mgombea Urais wa CHADEMA, Tundu Lissu Mkoani Mara

Walio namaisha mazuri Tanzania ni haohao wa CCM wa siku zoote wazee wanazeekea madarakani wamesahau hata miaka yao ya kustafu, vijana wenu ni Wasomi kulikoni ninyi alakini hawapewi kazi ajiri ya kulindana mizee tupu ya CCM.
 
Walio namaisha mazuri Tanzania ni haohao wa CCM wa siku zoote wazee wanazeekea madarakani wamesahau hata miaka yao ya kustafu, vijana wenu ni Wasomi kulikoni ninyi alakini hawapewi kazi ajiri ya kulindana mizee tupu ya CCM.
Mwisho wao umefika rasmi
 
CHADEMA MEDIA yule jamaa anaitwa Makune ni utopolo mtupu sijui ni kwanini wakina Mbowe,Mnyika etc hawaoni hilo.

Upuuzi mtupu.
 

Mara paa!! Mhe. Tundu Antipas Mughwai Lissu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania-A6 kutangaza Baraza la Mawaziri wiki hii.....!!!
"THE CELEBRATION".......By Cool & The Gang.
 
Hii tume ambayo msingi wake mkubwa ni double standards...Tundu Lissu asiende tuone kitakochofanyika...
Hii tume ambayo yenyewe haina maadili...ninewupe kama pamba. Wametoa hukumu gani kwa wagombea ubunge na udiwani wa chadema kwa muda huu wote. There are all working in tandem with all the deds to ensure that winner is Magufuli.
A bunch of sycophants dancing at magufuli's tune all the time.
Magufuli has breached all the codes or regulations of this election and nothing has been said or done against him....
He has not followed the timetable during the electioneering, speaking in the local dialect as he pleases during this campaign, dealing with construction of road projects during the campaign, giving money to people. This is absurd and yet no significant statement has come from NEC to condemn what Magufuli is doing. The only help we need is ICC at the Haque.
 
Umeongea unabii...System ianze sasa kukubali upinzani mda wowote wananchi watausimika kushika mamlaka ya nchi..nchi hii ni yetu sote System iwe tayar kutii iwe ni CDM ama ACT..mana wananchi ndy wenye maamuzi na ndy hulipa mishahara mtu awaye yeyote kumpendelea mtu au Chama fulani haitakua njia sahihi ya kulinda utu wa Taifa na watu wa Taifa letu...jiandaeeni kumpokea mtu yeyote maadam wananchi wamempa kibali!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
27 September 2020
Sirari, Mara
Tanzania

MAAJABU YA TUNDU LISSU KUPOKELEWA SIRARI NA BENDERA ZA ACT-WAZALENDO WATU WAFURIKA BARABARANI

 
27 September 2020
Tarime, Mara
Tanzania

Kampeni za CHADEMA 2020, Esther Matiko na viongozi wa kanda ya CHADEMA Serengeti wakimkaribisha Tundu Lissu kuhutubia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…