Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 117,789
- 218,428
Akiwa nyamongo tuna clip yake tafadhaliJanA aliyofanya musoma ni balaa
Clip yake wapiJanA aliyofanya musoma ni balaa
Wana Mara shikamooniJanA aliyofanya musoma ni balaa
LISSU NI TEGEMEO LETU ATATUFUTA MACHOZI,MAGU KATULIZAWakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .
Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1582215
=========
Wana Nyamongo mnadaiwa na Lissu.Akiwa nyamongo tuna clip yake tafadhali
Ile ya Musoma ni hatari zaidiJanA aliyofanya musoma ni balaa
Lissu anamg'oa Magufuli october 28Huyu ni suala la muda tu kuongoza Taifa hili kama sio 2020 basi 2025. Faida ya kampeni zake ni mbili, kampeni lakimi pia anatoa Elimu ya Uraia na kuwafungua watu. Hili la pili ndio hatari zaidi, Chama Tawala hakina maisha ya miaka 10 katika serikali kuu. Its too late kwa Chama Tawala, na hakitokuwa chama cha kwanza cha Ukombozi kutoka madarakani kusini mwa Jangwa la Sahara. System ianze tu kuwa karibu na watu wa upinzani, ianze kuwashape kuongoza ili Taifa letu libaki kuwa salama, vyama vinapita tu Tanzania itabaki na ni yetu sote
Leo nimepanda daladala watu wanajadili suala la Uwanja wa Chato na suala la uchukuliwaji ardhi kubwa na viongozi. Nikaelewa Mkubwa alivyotishia Media zisifanye coverage ya mikutano na kampeni za Lissu.
Ang'olewe tu hakuna namnaLissu anamg'oa Magufuli october 28
Damu yake imemwagika kwaajili ya ukombozi wa taifa letu.Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .
Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1582215
=========
AminaDamu yake imemwagika kwaajili ya ukombozi wa taifa letu.
Mungu Baba wa mbinguni tunakuomba usiku na mchana umlinde Raisi wetu Tundu Lisu na tarehe 28.10.2020 ukasimame naye ashinde kwa kishindo.
Uliweza kumuokoa katika mikono ya mauti kwaajili ya kutuletea ukombozi wa taifa letu tunaomba ukasimame na Lisu.
Ukuu na utukufu unawewe Mungu muumba wa vyote.
Amen
Asante sana kwa taarifa. Ila makamanda nimegundua kuwa mambo mengi mazuri ya kampeni za Lissu hatuyapati hapa JF, sijui watu hawaripoti au kuna nini manake nikienda You Tube kuna mengi ambayo makubwa lakini hata headings zake hatuzipati. Tuboreshe zaidi. Pia CHADEMA media tafadhali mnafunika habari nyingi mno za Lissu wakati kuna mengi ya kusisimua kutoka kwa kampeni zake.Wakuu habari za Jumapili , kampeni ndio kwanza zimeshika kasi , na yule Mgombea Urais anayeongoza kwenye kura za maoni Tundu Lissu atakuwa Mkoani Mara kunadi sera za chama chake na kuomba kura za ndio .
Kama kawaida , endelea kubaki hapa hapa JF kwa taarifa za Uhakika
View attachment 1582215
=========
Umesomeka mkuuAsante sana kwa taarifa. Ila makamanda nimegundua kuwa mambo mengi mazuri ya kampeni za Lissu hatuyapati hapa JF, sijui watu hawaripoti au kuna nini manake nikienda You Tube kuna mengi ambayo makubwa lakini hata headings zake hatuzipati. Tuboreshe zaidi. Pia CHADEMA media tafadhali mnafunika habari nyingi mno za Lissu wakati kuna mengi ya kusisimua kutoka kwa kampeni zake.