PakavuNateleza
JF-Expert Member
- Sep 9, 2009
- 1,104
- 1,294
Hizi ndio strategy kwa chama makini na viongozi makini.ccm wameshindwa kutumia opportunity kama hii wao wako busy kuandika mabango
Nipo mbeya jf inaniunganisha km nipo landmark
Tupo pamoja,hii mijitu imetunyonya tumebaki nifupa tu,lakini babo imo tu,
Hizi ndio strategy kwa chama makini na viongozi makini.ccm wameshindwa kutumia opportunity kama hii wao wako busy kuandika mabango
Hatuko live kwenye tvTV gani sasa wakuu.mbona mnakuwa hivyo.
Habari zenu wapendwa!
Hakika leo ni siku ya furaha kubwa kutokana na kukumbuka siku nchi yetu ya TANGANYIKA ilipopata uhuru kamili.
Pamoja na Uhuru huo bado Nchi yenyewe imejaa simanzi kutokana na wananchi wake kutofaidi MATUNDA ya nchi yao na kuendelea kuwaangalia WACHACHE ambao ni watawala wakijinufaisha na RASIRIMALI za nchi.
Nipo ndani ya Ukumbi na MAANDALIZI yakiendelea huku VIJANA na Wapenzi mbali mbali wa NCHI yao WAKIMIMINIKA.
Kumbe na wewe ni Bavicha.
Huku Dr anaimarisha Chama Kigoma,Pale nyanda za juu yuko Kamanda Benson na chadema ni msingi, Pwani yuko mdee ,Mbowe,Lissu,Mnyika na Kitila wanaongea na vijana na wapenda mabadiliko wote.CDM chama kubwa!!!