Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013

Hizi ndio strategy kwa chama makini na viongozi makini.ccm wameshindwa kutumia opportunity kama hii wao wako busy kuandika mabango
 
Habari zenu wapendwa!


Hakika leo ni siku ya furaha kubwa kutokana na kukumbuka siku nchi yetu ya TANGANYIKA ilipopata uhuru kamili.


Pamoja na Uhuru huo bado Nchi yenyewe imejaa simanzi kutokana na wananchi wake kutofaidi MATUNDA ya nchi yao na kuendelea kuwaangalia WACHACHE ambao ni watawala wakijinufaisha na RASIRIMALI za nchi.

Nipo ndani ya Ukumbi na MAANDALIZI yakiendelea huku VIJANA na Wapenzi mbali mbali wa NCHI yao WAKIMIMINIKA.

Kongamano linaanza saa ngapi jamani. Tungependa kufuatilia hili tukio.
 
Updates: Shughuli ndiyo inaanza... Waliopo Mezani ni J.MNYIKA, Mch. P.MSIGWA, G. LEMA, J. HECHE... Cheche zimeanza! Peoples'
 
Huku Dr anaimarisha Chama Kigoma,Pale nyanda za juu yuko Kamanda Benson na chadema ni msingi, Pwani yuko mdee ,Mbowe,Lissu,Mnyika na Kitila wanaongea na vijana na wapenda mabadiliko wote.CDM chama kubwa!!!
 
Huku Dr anaimarisha Chama Kigoma,Pale nyanda za juu yuko Kamanda Benson na chadema ni msingi, Pwani yuko mdee ,Mbowe,Lissu,Mnyika na Kitila wanaongea na vijana na wapenda mabadiliko wote.CDM chama kubwa!!!

kazi wanayo MAGAMBA! Watajuta kuijua CHADEMA... Kazi inaendelea.
 
watu ni wengi sana una ukumbi huu wa Landmark umefurika kabsa.
John Mnyika ndo anaongea na anasema mwenyekiti taifa kaanzia kwenye sherehe za Uhuru ila baade atakuja.
Anasema si sahihi kusema leo ni uhuru wa Tanzania bali ni uhuru wa Tanganyika.
Kwani Tanzania imekuwepo kuanzia 1964 wakati uhuru ushakuwepo.
 
Back
Top Bottom