Yaliyojiri: Kongamano la Vijana - LandMark Hotel - Disemba 9, 2013

Chadema niwape moyo bado kitambo kidogo tu mtafanikisha ukombozi wa Taifa hili.Jipangeni vizuri mtashinda.Suala moja muhimu wasaliti wenu wamejitambua na wameamua kuwa hawahami chama,wasikilizeni. Wapinzani wenu wameona hawatoki kwa hiari yao wanatengeneza sababu ili muwafukuze hili kamwe msiwape wapinzani wenu wanachotaka.Pamoja na madhaifu ya ZZK bado ni mwanachama mzuri wa cdm.Kosa amefanya na amekubali matokeo kwa kuwa hata mkutano wake anasema hatoki cdm,sasa ni wakati wake wa kudhihirisha kuwa anafaa kuwa kiongozi wa cdm kwa kutoka hadharani na kukemea wanachofanya wapinzani wa cdm.
 
Tuko hapa ubungo landmark kwenye kongamano la miaka 52 ya uhuru watu ni wengi na tutakuwa live kwa update. Mambo muhimu (1)mgeni rasmi mh! Freeman mbowe,(2) watoa mada mh! jj mnyika mh! Tundu lissu,kitila mkumbo,mabele marando (3) uzinduzi wa albam ya nyimbo za chama (chadema) za lilian wasira

Zitto ni wa kusakwa na kufungwa kamba ukumbini
 
Chadema niwape moyo bado kitambo kidogo tu mtafanikisha ukombozi wa Taifa hili.Jipangeni vizuri mtashinda.Suala moja muhimu wasaliti wenu wamejitambua na wameamua kuwa hawahami chama,wasikilizeni. Wapinzani wenu wameona hawatoki kwa hiari yao wanatengeneza sababu ili muwafukuze hili kamwe msiwape wapinzani wenu wanachotaka.Pamoja na madhaifu ya ZZK bado ni mwanachama mzuri wa cdm.Kosa amefanya na amekubali matokeo kwa kuwa hata mkutano wake anasema hatoki cdm,sasa ni wakati wake wa kudhihirisha kuwa anafaa kuwa kiongozi wa cdm kwa kutoka hadharani na kukemea wanachofanya wapinzani wa cdm.

maneno yako yamejaa BUSARA na UELEWA mkubwa; Safari si Ndefu, bali njia imesonga miba, na 'vikorokoro' vidogo ambavyo inabidi tupite kwa UANGALIFU.
 
UPDATES:

kamanda J.MNYIKA ndiyo amekuwa kiongozi wa kwanza KUFIKA... Akipokelewa kwa nderemo kubwa na wananchi waliopo UKUMBINI.
 
Kamanda MNYIKA anabadilishana mawazo ya hapa na pale na baadhi ya makamanda!! Pamenoga saaana...M4C DAIMA. ChaDeMa ni mpango wa Mungu..
 
Tupo pamoja,hii mijitu imetunyonya tumebaki nifupa tu,lakini babo imo tu,
 
Back
Top Bottom