Tumaini Makene
JF-Expert Member
- Jan 6, 2012
- 2,650
- 6,088
Kaka unauliza nyomi kwa Chadema?! Kama kawaida kama ilivyo ada.
Mkuu fatilia kwa umakini picha zimesha letwa na kamanda Tumain Makene....Ahsante.... Ila fanya mpango wa PICHA..
vijana mjiandikishe na mjitokeze kupiga kura, hao nyinyiem waondokeUwanja ulijaa muda mrefu kabla hata msafara wa Katibu Mkuu, Dkt. Slaa, na wabunge, Peter Msigwa, John Mnyika, Ezekia Wenje, Hyness Kiwia na Joseph Mbilinyi.
Mkuu usitegemee naha hawezi kuwaomba msama wapiga kura wake, sembuse watanzania, tatizo ni huyo "mwenye mbwa" alichukulia poa, nae anachukulia poa, kwa maCCM huyo atapata uongozi faster tu...
Mkuu fatilia kwa umakini picha zimesha letwa na kamanda Tumain Makene....
Mkuu.
Kutokana na yale maelezo ya Dr, nimegundua Chriss anasumbulia pia na ugonjwa unaoitwa Taurophobia
Uwanja ulijaa muda mrefu kabla hata msafara wa Katibu Mkuu, Dkt. Slaa, na wabunge, Peter Msigwa, John Mnyika, Ezekia Wenje, Hyness Kiwia na Joseph Mbilinyi.