POMPO
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 6,690
- 2,402
Mnyika akiwa jukwaani tayari...
Safi sana kamanda Tuma!
Mnyika akiwa jukwaani tayari...
Kaka mtoi I am standing to be corrected hii taurophobia si ugonjwa wa bulls!
Duh! Mmejaza utadhani mlikuwa na Ma-Diamond 10! Kwa hizi picha tu zinanitosha kwenda zangu Sinza kwa Mama Lucy kupata ki-nibu changu na vijipande vya Kifaranga.
Mohamed Mtoi,please watumie kimemo walioko jukwaani wazungumzie kidogo hoja ya Mdee ya leo kwa wizara ya kilimo kuruhusu kampuni iliyokataliwa dunia nzima kwa kuleta madhara ila hapa inapokelewa mikono miwili ili watu wajue na madhara yake
Mnyika akiwa jukwaani tayari...
Wacha wapayuke tu 2015 ndo watajua kama CCM ndio vidume
Mnyika anaendelea kutoa somo kwa Kinana kuwa akasome katiba ibara ya 8 inayoonesha madaraka yote yapo kwa wananchi hivyo viongozi wanapaswa kuwajibika kwa wananchi. Ibara ya 21 inasema bila kuathiri uwepo wa viongozi wa kuchaguliwa kila raia anahaki ya kushiriki jambo lolote linalomhusu yeye au serikali.
Ndo akili zenu zinawatuma mkiona watu wengi mnaona mmeshinda
Hakika ni habari njema sana.Hakika utukufu wa Mungu umedhihirika.
Hakika ni habari njema sana.Hakika utukufu wa Mungu umedhihirika.