Yaliyojiri katika Maadhimisho ya Mei Mosi - Mbeya

inauma sana kwa watumishi wa serikal kuishi mtaan kama watotot yatima ile hali mafisad wako busy kula hela nchi! serikali gan ambayo haisikii wala kuambiwa juu ya kuongeza maslahi ya watumishi wake. halafu kila siku wanauza sura kwenye vyombo vya habar na kukemea rushwa. Rushwa itaisha vp ile hali hamtaki kulipa mishahara yenye tija! lakin kuna siku nyie ambao leo hii mnawatesa watumishi mtakuwa mnateseka zaid ya hawa watumishi! mnawekeana mabilion ya kuzikana mnashindwa kumjal huyu mtumishi ambae anatumikia taifa lake! kkuna siku tutawekana sawa tu
 
Sugu hajaalikwa? Namuona Naomi Kiuhula tu....


Hiki kimya na kununa kwa wana Mbeya...kuna kishindo....wako wapi mwandosya na mwakyembe kumsaidia Rais kidogo Watu walainike?
 
Teh!CCM wapo pa-baya,mapokezi ya mh.raisi wa jamhur ya muungano wa TZ dr.jk sijayaelewa Mbeya.watoto wanageuka watumishi!
 
Naona mabango ya kutosha, nitarirusha moja kama nitafurahishwa nalo, lakini bahati mbaya cameraman wa TBC hataki ku zoom ili yasomeke vema.
 
Nikisema kinaaaaaa.....wewe unamalizia..haya twende sasa.

KINANAAAAAAAA...........................
 
Mgeni rasmi kwenye sherehe za mei mosi mjini Mbeya rais Kikwete akiwa anaingia uwanja wa kumbukumbu ya Sokoine watu walikuwa wamekaa tu kama vile waliopoteza kabisa matumaini na kiongozi huyu wa serikali. Rais alionyesha uso wa furaha na kuwapungia mkono lakini wengi waliendelea kuketi bila kumpungia mkono mh. rais. Nadhani haya ni mambo rais anabidi asome alama za nyakati vizuri - naleta kwenu wanajf tujadili
 
Namwona mh.jk anapokea maandamano ya wafanyakazi,wanapita tazara na bango lao limeandikwa 'hatujalipwa mshahara kwa miezi mitatu sasa'
 
Kuna bango limeandikwa, "kilio cha walimu ongezeko la mshahara", Rais anasoma na kutabasamu!
 
Nimeona ni kweli hakuna kitu kabisa na FFU ndio wamesindikiza msafara wake.
 
Bango la walimu, "ELIMU BORA KWA MISHAHARA DUNI HAIWEZEKANI". Hakika ningekuwa mgeni rasmi ningeumia sana ikizingatiwa na ile ahadi ya maisha bora ndo baaaasi! Ili kutunza heshima na uvumilivu wa kiutendaji, ingefaa Rais asiwe mgeni rasmi!
 
Mshereheshaji anawaambia waandamanaji mbona mmekuja mmenuna na hamna furaha?
 
Sugu hajaalikwa? Namuona Naomi Kiuhula tu....


Hiki kimya na kununa kwa wana Mbeya...kuna kishindo....wako wapi mwandosya na mwakyembe kumsaidia Rais kidogo Watu walainike?

Mkuu hata mimi sijamuona Sugu ila alikuwepo kwenye mapokezi ya Rais Mwenzake Jana
DSC_0447.JPG
 
Back
Top Bottom