bahatibahati
Member
- Jul 4, 2023
- 21
- 38
Hivyo ndivyo tunavyoweza kusema, kwani hakuna tarajio hata Moja la kuwamotisha wafanyakazi.
Tangu enzi za mwenda same hakuna chochote naweza kusema kilichofanywa Cha kuboresha maslahi ya wafanyakazi.
Angalia hotuba ya Leo HAINA MATARAJIO yeyote ya mtumishi!
Kuna haja gani ya kufanya MAADHIMISHO MEI MOSI KITAIFA?
Imekuwa siasa tu.
Hata zile AHADI za MCHENGERWA za MADARAJA ya mserereko hakuna.
MCHENGERWA na Simbachawene tunawaamini mnaweza mshauri Rais awape motisha wafanyakazi.
Wamekuwa wa kuchekwa tu na wanasiasa.