Curriculum Specialist
JF-Expert Member
- Oct 8, 2007
- 2,732
- 750
nikisema kinaaaaaa.....wewe unamalizia..haya twende sasa.
Kinanaaaaaaaa...........................
weka mbali na temboooo
nikisema kinaaaaaa.....wewe unamalizia..haya twende sasa.
Kinanaaaaaaaa...........................
Hao ni walimu, wapo hapo kwa sababu kuna rokoo iliyopitishwa pamoja na kuchimbwa mkwara "mwalimu asiyekuja atafukuzwa kazi"...
Dah SUGU atakuwa ameharibu huko si bure.
mkuu mimi nafuatilia kupitia tbc naona watu wamehamasika sijui wewe upo uwanja gani au upo uwanja wa jamhuri mkuu.