Ukiona hivyo ujue malori hayajafika uwanjani kuleta watu wakupendezesha uwanja...Mbeya nimewakubali yaani hata mchukuwa picha wa tbccm anaogopa kuonyesha hali ya uwanja ameshikilia kwa wanamuziki tu.
Kwa hiyo umejaa watoto wa shule, ccm hawajifunzi ni kwamba watu wamewachoka... watafute malori yakabibe watu vijijini wawahakikishie ubwabwa na buku tano tano...wanabodi heshima mbele ....
Naomba niwaletee update za maadhimisho ya siku ya wafanyakazi Mei Mosi ambayo kitaifa yanafanyika katika uwanja wa Sokoine jiji Mbeya.
Watu wameshaanza kuingia na viongozi mbali mbali wameshaingia nimemuona Hawa Ghasia,Mama Kabaka,Kinana,Kawambwa,Makongoro na mabalozi mbali mbali.
Updates...
Kwa ufupi uwanja uko mtupu wazo la kupeleka mbeya linaweza kuleta tafsiri mbaya ya jamaa kukubalika kazi kweli kweli wanafuta muda ili watu wajae jae isijekuwa aibu kwa Mgeni rasmi.
hivi watoto wa shule nao ni wafanyakazi?
Mbeya walisha mpopoa mawe mkuu wa kaya hivyo wanajihami...
Kwa hiyo umejaa watoto wa shule, ccm hawajifunzi ni kwamba watu wamewachoka... watafute malori yakabibe watu vijijini wawahakikishie ubwabwa na buku tano tano...
View attachment 92096
Hawa tembo akiwa ona Kinana katibu mkuu wa CCM hawana bahati....watanzania walindeni hawa tembo
Wahudhuriaji hawa raha nyuso zao zimedhofu inaonyesha kama wamelazimishwa kuja uwanjani
​anatumia fursa hiyo kujenga chamaKinana tena, yeye ni nani hadi kwenye mei mosi