SHUPAZA JF-Expert Member Aug 4, 2009 562 23 May 1, 2013 #141 Mei mosi maanake nini kwanza anaejua anijuze
CCM original JF-Expert Member Apr 28, 2013 373 68 May 1, 2013 #142 Mh! Unashangaa ulinzi wa rais? Ulitaka walinde mgambo msafara wake? Au ulitaka pasiwepo na ulinzi mfanye vurugu zenu kama kawaida?
Mh! Unashangaa ulinzi wa rais? Ulitaka walinde mgambo msafara wake? Au ulitaka pasiwepo na ulinzi mfanye vurugu zenu kama kawaida?
The Khoisan JF-Expert Member Jun 5, 2007 15,516 13,179 May 1, 2013 #143 Fafanua hiyo point number 6 ........... tafadhari!!!!
Mfamaji JF-Expert Member Nov 6, 2007 6,631 1,926 May 1, 2013 #144 1army said: Tatizo sio Mh Rais, Tatizo ni Kinana tu mtu uwezi huwa tembo kiasi hicho afu usipate lahana Click to expand... jamaa alikwepa kamera mara tano. Nilifuatilia
1army said: Tatizo sio Mh Rais, Tatizo ni Kinana tu mtu uwezi huwa tembo kiasi hicho afu usipate lahana Click to expand... jamaa alikwepa kamera mara tano. Nilifuatilia