IKUNGURU IJIRU CHUKU
JF-Expert Member
- Feb 27, 2021
- 484
- 541
Sasa Mbowe alaumiwe kwa kipi? kaka mbona hauko makini comment zako? Hebu jaribu kulaani ulimi wako kabla huja sema.,,,Uungwana ni kuthamini wema aliokutendea pamoja na kuunyima uzani ubaya wake."ama kweli sasa ndo nimeamini hekaya za wahenga ,,,Hatari ya kusuhubiana na mwenye ufahamu dhaifu ni kukudhuru bila ya kukusudiaIlitakiwa kwa mashtaka haya watu wamnyoshee Mbowe kidole cha lawama lakini badala yake wanampungia mkono wa heri.
Lawama zinaenda upande mwingine kama si aibu tuseme ni nini.