Kamanda Asiyechoka
JF-Expert Member
- Sep 13, 2020
- 3,166
- 4,581
Msichukulie mambo rahisi rahisi tu kisa tu eti mashahidi kumi na tatu kati ya ishirini na nne wametoa ushahidi.
Kwa jinsi watumiwa wenzake na Mbowe walivyokamatwa, jinsi Urio alivyotiririka kuwa Mbowe alianza kumpanga kwa muda mrefu ili atafute makomandoo wa kuja kuleta dhahama nchini ni wazi kuwa kuna kesi ya kujibu.
Tujipange kwa defence tu ili kupangua hoja. Tuache ushabiki wa mitandaoni usio na tija.