Yaliyojiri katika kesi ya Mbowe na Wenzake. Tumaini Swila amaliza ushahidi. Mawikili wa Serikali wafunga Ushahidi. Jaji kutoa uamuzi 18/02/2022

Mkuu kwa hiyo na wewe uko upande wa watesi? Mie nadhani haki ijadiliwe na watu wote. Hata kama upo CCM na kichwani ubongo hakuna, basi jaribu kumhurumia binadamu mwenzako.
Wala usihangaike nae. Ajiongeze kidogo tu ajifunze kwa Ndugai.
 
TOKA MAKTABA :

2 December 2021
Bunge la Ulaya(EU) lajadili hali ya kisisasa Tanzania na kukamatwa kwa Freeman Mbowe




Mwenyekiti wa kamati wa mambo ya nje kwenye Bunge la Ulaya, David James McAllister amesema anawasiliana na watu wengi nchini Tanzania ambapo amesema wapo kwenye hali ambayo viongozi, wanachama na wafuasi wa upinzani wanakumbana na udhalilishaji, kushikiliwa kinyume cha sheria na vitisho. Kwa upande wake mkurugenzi wa mambo ya Afrika kutoka umoja wa Ulaya, Laranjinha Rita amesema kuna sababu za matumaini Tanzania ambapo miezi ya karibuni kumekuwa na mwanzo mzuri kwa Rais Samia nyumbani na kimataifa ambapo ametambulisha baadhi ya mabadiliko. Laranjinha amemueleza Rais Samia kwenye uhuru wa kutoa maoni na uhuru wa vyombo vya habari na mabadiliko hayo yamepokelewa vizuri na jamii ya kimataifa. Pia ameongelea ruhusa ya kurudi shuleni kwa wanafunzi waliopata ujauzito. Laranjinha amesema pamoja na hatua zilizofikiwa kuna mapungufu machache ikiwemo demokrasia ya vyama vingi ambapo hakuna uwakilishi wa upinzani kwenye bunge, mwenyekiti wa chama cha upinzani kushikiliwa na umoja wa ulaya itaendelea kufatilia kwa karibu.
Source: JamiiForums




4 August 2021​

Victoria Nuland : Tanzanian Opposition Leader’s Arrest Is “Test” For New President​



U.S. Undersecretary of State for Political Affairs Victoria Nuland was in Tanzania Wednesday where she spoke about the arrest of opposition leader Freeman Mbowe and at least 10 other Chadema party members and staff who face terrorism charges.

Source : VOA

4 August 2021

Ambassador Victoria Nuland | UNDER SECRETARY FOR POLITICAL AFFAIRS


Tanzania, Waziri wa Mambo Ya Nje Dr. Liberata Mulamula | amefanya mazungumzo na Bi. Victoria Nuland naibu waziri mambo ya nje anayeshugulikia masuala ya Afrika ambaye pia amefanya kazi Brussels EU pia mshauri wa Bill Clinton, kutatua migogoro ya Ukraine na Russia alifika Tanzania pia kukutana na viongozi wa vyama vya upinzania Tanzania . Rais Joe Biden sasa amempa imani yake na kumtuma kutatua migogoro na migongano ...


TOKA MAKTABA :

Tanzania ilivyotengwa, jinamizi la vikwazo kukaribia kutekelezwa na kukaripiwa kidiplomasia kwa awamu mbili za utawala wa CCM yaani ya 5 na awamu ya 6 ya uongozi wa serikali ya CCM :

Biden invited 110 Countries - Summit for Democracy, Tanzania mpya haimo!

Mwenyekiti wa Kamati ya Mambo ya Nje wa Bunge la ulaya akataa ripoti iliyoonesha matumaini ya mabadiliko ktk utawala wa awamu ya sita David James McAllister MEP ambaye ni mwenyekiti wa kamati ya Bunge la Ulaya ametoa hotuba nzito na kuwalaumu wataalum wa Umoja wa Ulaya waliotoa ripoti...
 
Mwanzoni aliyebuni script hakuwa amekamilisha sehemu ya mwisho,akafa mbunifu na waliopewa zabuni kwa kudhani wameielewa script wakakurupuka na kuanzisha start button bila kufanya masahihisho kuziba nyufa na matobo.

Wasivyochukulia mzaha uzembe,ukatili,uonevu na uvunjifu wa HAKI za binadamu mawakili wasomi wanawapiga kata funua za kutosha mashahidi wa michongo na mawakili wao mahakamani!Utapenda kuwa upande wa HAKI.

Tunapodai Katiba mpya ni kwa sababu tunataka USAWA,HAKI,UWAJIBIKAJI na kudumisha/kujali UTU wa kila moja wetu bila UBAGUZI wowote.
HAKI huinua TAIFA.
Hii kesi umesaidia kufahamu mengi maovu yanayotendeka chini ya kapeti
 
Kwa hii kesi kwa kujikanganya kule hata wangekuwa na mashahidi Milioni wasingetoboa if haki ikimaraki!!!
Mashahidi wameumbuka sana ni Aibu kubwa kuwapiga watu kuwatesa waseme wakili ugaidi hewa feki huku Lt Urio akigeuka kuwa shahidi wakati awali alikamatwa akapigwa sana akateswa vibaya lakini kwa njaa zake amejitoa fahamu zote kawageuka wenzake kawa shahidi wa kingai mahita walewale waliompiga kumtesa kule Tazara
 
Aisee siyo siri home ss hv hadi wananiita Kibatala mtu akizingua tu naanza kumpa yale maswali kama ya Kiba....utasikia sitaki maswali yako ya kina Kibatala.... kwa kifupi nina basic Cert ya Law kwa kupitia hii Case!!!
Wengi wamepata Elimu kubwa ya Sheria kupitia hii kesi ya mbowe ndiyo maana marehemu magufuli aliipuza kwa kujua hilo
 
Upande wa Mashitaka umefunga ushahidi bila kumlete mlalamikaji DCI Boaz pakoje hapo?
Wameona huenda ikaja kuwa Aibu kubwa zaidi endapo ataulizwa maswali kama aliyoulizwa Lt Urio na Swila
 
Kingai alikuwa na msemo wake wa kukutwa na kete za madawa kulevya kwa washitakiwa huu. Msemo haupo tena. Hawa akina Kingai wameshiriki kufanya ujinga sana wa kubambikia watu kesi. Jeshi linaweza kuwa na watu kama akina Kingai, Swila, Goodluck na Jumanne. Hii kesi ilimalizwa na Ndowo na Goodluck leo Swila kaja kumzodoa SSH.
Yupo na mahita ambaye aliwanyanyasa kuwatesa kuwapiga walinzi wa mbowe kuwalazimisha wakili ugaidi hewa feki huku akishirik kumgeuza Lt Urio kuwa shahidi toka kuwa mtuhumiwa , kingai na kikundi chake washitakiwe The Hague pindi kesi ikimalizika
 
Wakati wiki iliyopita Swila alikua akijiharishia mawakili wa serikali walisema Kama Swila ataendelea kujinyeanyea wataleta shahidi mwingine jumatatu.
Kiko wapi.
Kuna mashahidi walioandaliwa ambao hawana akili lkn Wana vyeo na familia wameona kuliko kuwa proved kwamba hawana akili Bora nusu Shari.
Pia makao ya bunge la ulaya ni BRUSSELS. Unganisha dot dot Kama Swila.
ingekuwa Aibu kubwa endapo DCI angekutana na maswali kama aliyokutana nayo swila na Lt Urio
 
SSH lazima kapewa makavu live na beberu wa EU. Mnafungaje shitaka wakati BOAZ na SIRRO hawajapanda? Ukweli hii kesi imefunua uozo wa jeshi la polisi.
Aibu kubwa sana siku ingine ha watathubutu kutengeneza kesi bandia kama hiyo
 
Baada ya kesi lazima mahita na kikundi chake wawalipe fidia kwa kuwapiga kuwatesa walinzi wa mbowe, wamewapa vilema vya kudumu kwa uonevu mkubwa
 
Shahidi aliulizwa kama kuna watu waliofungwa kutokana na shauri hili shahidi akasema hakuna.
Sasa yule aliyemdanganya rais ajiandae. Anastahili adhabu kali kwa kumfanya rais auambie ulimwengu hayo. Asipoadhibiwa ni shida nyingine. Au huyo mtu aanze kutubu kama Ndugai, nimekosa mimi. Nimekosa mii...
Uyo hakudanganywa bali ni yeye tu kichwa kigumu
 
Kwanini hawakumleta Siro?

Hapo ndio tungejua uwezo wa kufikiri wa police chief.

Angedharaulika kuliko ma traffik wake wanachukua rushwa Kama mchwa
 
Back
Top Bottom