mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,161
- 3,496
ha ha ha haha kaka mankachara mzee anijui ... jamani wewe mtundu
Hamna ila amekukosesha haki yako, ilitakiwa na jina lako liwepo pale
ha ha ha haha kaka mankachara mzee anijui ... jamani wewe mtundu
Hamna ila amekukosesha haki yako, ilitakiwa na jina lako liwepo pale
Mmmh mi humu kuna MTU huyo nilivyojua kuwa n yeye sikuamini mana the way anavyocomment na uhalisia wake nilishia kucheka tu
Kama ww
Haha ndo wewe huyo!!!!
Sichezi tena na wewe......
Uliona ID yake? Hujawahi kupambana naye kwenye thread? Ndio maana tunasemaga jamani tuwe waangalifu kwenye komenti zetu. Waweza kuta thread unayoiponda na kuitolea komenti kali ni ya baba au mamayako!Jana nilicheka sana haa kweli JF mambo mwe mwe, nyumbani kuna babu yangu kaja kusalimu tena ana umri miaka 82 sasa hivi, mara nyingi JF naingia nikiwa kwa ofisi natumia desktop.
Jana naingia home nakuta baba ana laptop nzuri sana, tena anachart, mimi kumsogelea nakuta yuko jamii forum page hii ya urafiki na mahusiano, nikamuomba nione kama anaelewa.
Haa kajiunga tena ni member wa siku nyingi ana jina lake mwenyewe na anapost na kuchangia haa jamani niliona vituko zaidi anamsifu sana mtu anaeitwa heaven on earth, lara 1, miss nedy, watu kibao kanitajia anaowakubali mara mzizi mkavu, haa jamani nimegundua humu ndani huenda kuna watu zaidi ya huo umri.