Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Mnaishi kwa majungu ambayo hayajawahi kutukatisha tamaa hata siku moja. Ninyi mnaita propaganda kumbe majungu matupu!
CHADEMA ni chama cha siasa mimi kama raia na uwezo wa kuhoji kama wewe unavyohoji matumizi ya serikali ya CCM, hakuna majungu hapo!
 
Sisi tunaochangia ndiyo huwa tunapata mrejesho. Viongozi wetu ni marafiki. Ukitaka unampigia simu Mbowe au Dr. Slaa wakati wowote na ukitaka ufafanuzi utaupata.

Kulalamikia mrejesho wakati si wewe unayechangia ni sawa na kulalamikia wahadhiri wa vyuo vikuu hawafundishi, wewe ukiwa unasoma sekondari ya kata.

Marejesho ya michango iliyopita ya M4C mbona wanachama hawajafahamishwa au ukihoji unaitwa msaliti na unafukuzwa,
 
Sasa wale wafuasi wa Chadema ambao hawana namba ya simu ya Mbowe watapaje taarifa.
 
Kutakuwa na harambee ya CHADEMA itakayofanyika kesho tarehe 31/10/2014 na kurushwa live na ITV kuanzia saa 3 usiku.

CHANZO:ITV

Hihihihihihiiiiiiii!!!!!!!!!
 
Attachments

  • 1414698930919.jpg
    1414698930919.jpg
    17.4 KB · Views: 806
Mtaisoma mwaka huu hata kimyakimya. Wewe piga propaganda sie tunachanja pori. Nyie wanachama CCM si hamchangishwi bali mnakwapua BoT na kuwatisha wahindi.
 
Sasa wale wafuasi wa Chadema ambao hawana namba ya simu ya Mbowe watapaje taarifa.

wewe unayo namba ya kikwete au pinda ?michango yako unawatumiaje?mbona wewe uko chama cha magamba huwa unachangia wapi pesa zenu,au kwa vile mnawapandisha Twiga na Tembo kwenye ndege wakiwa hai?
 
Sasa wale wafuasi wa Chadema ambao hawana namba ya simu ya Mbowe watapaje taarifa.

Wafuasi wa cdm tunazo namba za viongozi wetu na huwa tunawasiliana nao bila vizingiti vyovyote.nipo tayari kuchangia ukombozi wa pili na lazima nifuatilie kipindi hicho bila chenga kwani ni tukio muhimu kwa wapenda mabadiliko wote
 
Chadema ni chama cha siasa mimi kama raia na uwezo wa kuhoji kama wewe unavyohoji matumizi ya serikali ya CCM, hakuna majungu hapo!

Kuhoji serikali ni jukumu na haki ya kila raia mlipa kodi ila kuhoji mambo ya chama ni haki ya wanachama pekee. Mtu wa nje ya chama akihoji hicho kinaitwa kiherehere.
Halafu hapo nikusahihishe kidogo. Hakuna serikali ya CCM bali kuna serikali inayoongozwa na CCM. Serikali ni ya wananchi wote raia wa Tanzania, msipende kuibinafsisha.
 
Marejesho ya michango iliyopita ya M4C mbona wanachama hawajafahamishwa au ukihoji unaitwa msaliti na unafukuzwa,
Tunataka mrejesho wa fedha zetu zilizochukuliwa kwa nguvu ili kujenga viwanja wa wananchi vilivyopokwa na walafi vya kirumba, Kambarage, Ali Hassani Mwinyi, Namfua, Jamhuri, Sokoine Mbeya, Maji Maji Songea, kwa kukata mishahara ya wafanyakazi kwa nguvu, kukamata mifugo na hata kuku, kulazimisha watu kwenda kujitolea.
 
Ile Chopa Lema aliyoinunua kwa pesa za HARAMBEE YA M4C iko wapi?
 
Back
Top Bottom