Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

Yaliyojiri Harambee ya CHADEMA live ITV - Oktoba 31, 2014

ITV mimi nipo hapa ukumbini lakini nimepokea taarifa matangazo hayana sauti fanyeni juu chini watanzania wasikie kinachoendelea!

Lete updates basi maana sisi tunaangalia cinema bubu
 
Hii inawezejana tz peke yake kipindi kinakuwa hewani kwa.dk nyingi bila SAUTI nahakuna namna yakuomba Radhi.watazamaji
 
Si mzime tv zenu mnatupigia kelele watoto wamelala.
 
Back
Top Bottom