telex
JF-Expert Member
- Apr 26, 2015
- 406
- 103
Saada Mkuya: "Deni la Taifa limeongezeka kwa 21% kutoka Trilion 30 Machi 2014 hadi Trilion 35 Machi 2015
nani kaliongeza? amemtaja?
Saada Mkuya: "Deni la Taifa limeongezeka kwa 21% kutoka Trilion 30 Machi 2014 hadi Trilion 35 Machi 2015
wamejitahidi sana.
Saada Mkuya: "Deni la Taifa limeongezeka kwa 21% kutoka Trilion 30 Machi 2014 hadi Trilion 35 Machi 2015
Kwani mie CCM?Dah! Mkuu, hivi hujioni kama wewe ndo mjinga?
mikopo kwa wanafunzi imeongezeka hadi tril. 1.9 kipindi cha miaka 5
Inflation rate drops from 5% 2010 to 4.5% May 2015.. Haha
Hivi mfumuko wa bei umeshuka????
majambazi yamekata umeme
hawako serious.
majambazi yamekata umeme
wangeweza zaidi ya hapo tatizo wizi umezidi.
hii bajeti ikisimamiwa vizuri hakika imetulia sana, binafsi nimeipenda.
Walevi hawakomi tu. yanaongezewa kodi lakini utayakuta yanajazana kwenye baaMilevi mpoooooooo?