TataMadiba
JF-Expert Member
- Feb 7, 2014
- 9,878
- 5,765
una uhakika? au unaota mchana?
uhakika 100%
una uhakika? au unaota mchana?
Kikwete alisema Kigoma itakuwa kama Dubai na Mwanza kama California,je zimekuwa hivyo? Akili kumkichwa
sikiliza acha kukimbilia kukosoa.
Dah! Mkuu, hivi hujioni kama wewe ndo mjinga?CCM wajinga tu
Na utaendelea kupungua hadi kufikia asilimia 5 mwaka 2020umaskini umepungua kutoa 34.4 % mwaka 2004 hadi 28% mwaka 2012
CCM wajinga tu
uhakika 100%
Na utaendelea kupungua hadi kufikia asilimia 5 mwaka 2020
CCM wajinga tu
wanapanga bajeti lakini hawatoi pesa,pesa zinapangwa kwa malengo haya,badae zinaelekezwa kwenye mambo mengine!.....
Umeme vijijini kutoka 7% 2010 hadi 36% 2014
mradi wa Bomba la gesi kutoka Mtwara hadi Dar es Salaam umekamilika.