Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,717
- 11,331
Ripoti imeshasomwa tayari?Bajeti imetulia
Ripoti imeshasomwa tayari?Bajeti imetulia
Ni kweli kabisa Mkuu. Ili bajeti itekelezeke, mwaka huu mchwa wote tuwaondoe kama alivyotuasa Nape. Huu ni mwaka wa uchaguzi so wala rushwa wote tuwateketeze kupitia mchujo wa wagombea
PAYE itapungua kutoka asilimia 12 hadi 11.
Haba na haba hujaza kibabaNgoja nipige mahesabu kwenye mshahara wangu hiyo asilimia moja ni kama nimeongezewa ka elfu kumi na saba na mi tatu themanini. Sio mbaya naiweka kwenye bajeti ya Vocha
inasomwa na CCM na itasimamiwa na CCM.
PAYE ameeleza kuwa imeshuka kutoka asilimia 12 hadi 11. Kuhusu ushuru wa magari bado hajagusiavip kuhusu uingizaji wa magari na pay as you earn mbona hajazgusia?
Mkuu, wakati JK anaingia madarakani, PAYE ilikuwa asilimia 18. Kashusha hadi kufikia 11. Bado unaona kuwa hajafanya chochote?sasa ndio wamefanya nini hapo?asilimia 1 tu ya PAYE bora wangeongeza kidogo na kima cha chini
sasa ndio wamefanya nini hapo?asilimia 1 tu ya PAYE bora wangeongeza kidogo na kima cha chini
Single digit itafikia mwaka 2017. Hiyo ndo ahadi ya serikali sikivu ya ccmSerikali sikivu imeshindwa kushusha mpaka single digit
Kikwete alisema Kigoma itakuwa kama Dubai na Mwanza kama California,je zimekuwa hivyo? Akili kumkichwasound wakati waziri amesema, wewe vipi ndugu ina maana waziri anasoma uongo.
Misamaha wa kodi Trillion 1 inakuwaje ni 1% ya Pato la Taifa?? Pato Letu ni Pesa ngapi??? Tunadanganywa live hapa naona
Pamoja sana. Nami naangalia kupitia TBC1I'm listening to TBC Taifa with TuneIn. #RealRadio TBC Taifa - 87.5 FM Dar es Salaam - Listen Online
sasa ndio wamefanya nini hapo?asilimia 1 tu ya PAYE bora wangeongeza kidogo na kima cha chini
Mkuu, kuna watu wanakimbilia kukosoa tusikiliza acha kukimbilia kukosoa.
Misamaha wa kodi Trillion 1 inakuwaje ni 1% ya Pato la Taifa?? Pato Letu ni Pesa ngapi??? Tunadanganywa live hapa naona
Kodi kwenye Mishahara Juuu !!! ... Kodi kwenye uingizaji wa Magari Juu... VAT Juuu ... Chezea CCM wewe? Hawa Jamaa hawataki kura zenu ila mnalazimisha kwa minyege yenu tu ... CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM CCM ... KKU KKU KKU KKU KKU KKU KKU KKU KKU KKU KKU KKU KKU KKU ... Khanga, Kofia Ubwabwa ...
Maana yake pato letu ni trilioni 100 kwa mwaka