Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

hii bajeti ikisimamiwa vizuri hakika imetulia sana, binafsi nimeipenda.
 
Kima cha chini ni shilingi 265,000. Hii ni ya mwaka wa 2014/15 au 2015/16? Kwa anayefahamu anijuze. Zijampata vizuri mheshimiwa Waziri
 
PAYE itapungua kutoka asilimia 12 hadi 11.

Ngoja nipige mahesabu kwenye mshahara wangu hiyo asilimia moja ni kama nimeongezewa ka elfu kumi na saba na mi tatu themanini. Sio mbaya naiweka kwenye bajeti ya Vocha
 
hii bajeti ikisimamiwa vizuri hakika imetulia sana, binafsi nimeipenda.
Ni kweli kabisa Mkuu. Ili bajeti itekelezeke, mwaka huu mchwa wote tuwaondoe kama alivyotuasa Nape. Huu ni mwaka wa uchaguzi so wala rushwa wote tuwateketeze kupitia mchujo wa wagombea
 
Misamaha wa kodi Trillion 1 inakuwaje ni 1% ya Pato la Taifa?? Pato Letu ni Pesa ngapi??? Tunadanganywa live hapa naona
 
Back
Top Bottom