Yaliyojiri Bungeni: Usomaji Bajeti ya Serikali 2015/16

MKUYA: Serikali imeandaa Sera ya kusimamia mapato yatakayotokana na #gesi ili kila Mtanzania aweze kunufaika.
 
Hivi barabara gani ya Dar-Chalinze iliyojengwa?? Ile yenye mawimbi mawimbi kuanzia Mlandizi mpaka Chalinze au??
 
Kwa anayejua tafadhali. Hivi hiki kifaa anachotumia Bi Sada kusoma Bajeti kinaitwaje? Maana naona kashika kama kalamu vile ambayo anatumia kuscrow kwa juu. Ila ukikiangalia kwa mbali kinaonekana kama karatasi vile
 
Kindle
 
Matreller yanayotengenezwa nchini yanapunguziwa kodi
 
Mabomba ya PVC na Matrailler ya kusafirishia mizigo kuondolewa misamaha ya kodi kwa vile sasa huzalishwa na kutengenezwa nchini ili kulinda ajira.
 
Kwa anayejua tafadhali. Hivi hiki kifaa anachotumia Bi Sada kusoma Bajeti kinaitwaje? Maana naona kashika kama kalamu vile ambayo anatumia kuscrow kwa juu. Ila ukikiangalia kwa mbali kinaonekana kama karatasi vile

Hiyo ni tablets mkuu kaifunua hapo hapo. Samsung wanazo
 
MKUYA: Serikali imeandaa Sera ya kusimamia mapato yatakayotokana na #gesi ili kila Mtanzania aweze kunufaika.

watawekea fedha kwenye akaunt maana hata madini walisema hivyo hivyo mwisho yanaisha.
 
Ni PDA kama zilivyo IPad.. Unaweza ukaigoogle ukaisoma vizuri..

Kazi yake kubwa ni kuhifadhi documents tu..
Ahsante mkuu kwa maelezo yako. Umeniongezea ujuzi. Huku kwetu Songea hakunaga hivyo.
 
Attachments

  • image.jpg
    image.jpg
    13.9 KB · Views: 181
Back
Top Bottom