Elungata
JF-Expert Member
- Jan 28, 2011
- 40,381
- 33,553
spidi ndogo sanaaa, kama ya trekta. tatizo ufisadi una spidi mno.
speed inatosha sana.kama mwaka 2010 umeme vijijini ilikua 17% leo miaka mitano baadae ni 34%,hebu rudi nyuma hadi 2005 utajaji kama haikua hata 5%.
then rudi nyuma 1995 utakuta ilikua 0.5%.
kwa miaka kumi speed kubwa munoo